Elections 2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

Saizi amegeuka malaika
 
Kumbe haya maneno yapo kila uchaguzi?
Ashitakiwe tu maana hamna namna, huyu jamaa anataka kutuletea machafuko kwenye nchi yetu
Tena yakitokea machafuko afungwe maana maneno yake yatakuwa ni chachu ya machafuko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hivi JK kawa lulu,!

Haya machadema hopeless kabisa
Ndio maana nasemaga magu shikilia hapohapo, kanyaga twende.
Hapo zamani walimshmabulia Sana kikwete na kwenda ICC. Sasa hivi wanakuambia hakuna raisi Kama kikwete
 
Kichaa huwa kinakawaida ya kujirudia rudia endapo mtu hakuweka umakini wa kwenye dozi

Kumbe kichaa hiki ni siku nyinge eeh!!!

Chadema mnaboa mno aisee
 
nilichojifunza mabeberu hata ukiwapa raslimali watakugeuka tu, kikwete alikua nao peace sana mabeberu bt mwisho walimgeuka
 
Kichaa huwa kinakawaida ya kujirudia rudia endapo mtu hakuweka umakini wa kwenye dozi

Kumbe kichaa hiki ni siku nyinge eeh!!!

Chadema mnaboa mno aisee
Hawa ni kuwaonea huruma tu, na sasa JPM kagonga nyundo kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…