Elections 2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

Chadema mnahaha sana. Hamuamini kama mnashindwa ilaa ndo hvyo hali halisi imeshawaonesha kwamba ndo mnafutika ktk ramani ya siasa so mnabaki kutapatapa
 
Dalili za kushindwa....,,,mnataka sympathy za hiyo ICC sijui

Dalili za kushindwa? Huna ht aibu atashindwa Magufuli na ccm yenu.Lowassa ndie rais haki ya mungu wewe hujui tu huku kitaa mambo ni mazito.
 
we nawe ndio walewale akili kama za huyo mallya... subiri uone kama mtafanikiwa...

hakunq mtu wa kusapoti huo ujinga aisee yaani viongozi wa cdm ni kulalamika kila kukicha kila jambo mnahisi mnaonewa sasa imekuwa kero hizo ni dalili za kushindwa.

Sioni dalili za kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwezi wa kumi,JK anapanga kujiongezea muda wa kubaki madarakani na jambo hilo halikubaliki......Mbowe cha ajabu sasa hivi wako kwenye kampeni. Tume haiwezi kumaliza zoezi la kuandikisha wananchi wote kwa sababu muda uliopangwa hautoshi na BVR imeshindwa kuleta ufanisi katika uchaguzi wa Kenya kwa hiyo hapa kwetu haitowezekana .......J Mnyika cha ajabu watu 22million wamejiandikisha, hawa ndio wanasiasa wetu wa Tanzania.
 

Ukifanikiwa kusoma malengo makuu ya uwepo wa mahakama hii ya ICC ndo utaelewa nn tunachozungumza

Unaongea km kiongoz wko JK,et mahakama hii tangu kuanzishwa kwake inakandamiza viongozi wa nchi za kiafrika,ww unafikir viongoz wa ulaya na Asia wanaropoka km hao viongoz wenu?ulishawahi ckia nchi zao wakigoma kuondoka madarakani km kina Nkurunzinza?uliwahi ckia wakigombania raslmali za nchi zao wenyewe?uliona kiongoz akivunja katiba ya nchi Yao?

Kuna upuuz mkubwa sana unaofanywa na viongozi wetu wa kiafrika ambao unakinzana na mkataba wa icc,hawajasoma vzr mkataba ule na kuuelewa

Fatue Bensudar Ana kazi ya ziada kwa viongoz wa afrika
 
ubarikiwe mkuu. Umeongea mema yote mwenye maskio na asikie lakn na mpumbavu acha aendelee na upumbavu.

Hivi kwa nini ccm wanalazimasha watu wasilinde kura zao kwa kigezo cha fujo? Nani ataleta fujo kama si police na ccm. Hv mtu ukikaa mita 200 kimya umetulia unatazama ndio fujo hizo. Hapo ndio ccm wanataka waibe kura hata kwa nguvu. Tumeona chaguzi nyingi wakala wakikimbia na box la kura. Msitudanganye wala msitutishe kisa mnayo risasi na mabomu.
 

hahaha asante mkuu kwa kuona hilo...
hawa watu malalamiko yamezidi sana kila kitu wao wanaona ni hujuma tu.
 
watanzania wengi ni wajinga wa kutupa.... eti tunaanza kushtakiana nje ya nchi si ujinga kabisa huu... hata wao ICC wanatushangaa kwa kweli...

mfia maji haachi kutapatapa

Wewe usie elewa haki yako ndo mjinga tena mjinga wa kuzikwa,hivi ni nani asiejua kikwete anawatisha watu,sheria na kanuni zinamruhusu mtu kupiga kura,alafu kukaa mita 200 kutoka eneo la kituo cha kura leo JK anaanza kutisha watu,eti ukipiga rudi nyumbani usipo fanya hivyo utaipata nini maana yake.
 
Mmeshampiga chini Tundu Lisu? Tamko kama hilo lilipaswa kutolewa na Tundu Lisu. Je ndo kusema nafasi yake imechukuliwa na mwenzao na wenye Chama?

Teh teh ni mwaka wa mabadiliko.
 

msijifanye hamkuelewa alichomaanisha.
piga kura rudi kwenu kama hutaki basi kaa nje ya eneo husika ikiwa huna shughuli maalumu hapo maana wengine ofisi zao au makazi yapo ndani ya eneo la kituo, yeye alimaanisha wanaotaka kubaki ndani ya eneo.
ila kumbuka hata ikiwa mita 300 na ukaleta fujo utapigwa tu maana watu wengine wanapenda sana sifa za kijinga.
 

mkuu sina haja ya kukujibu. Hebu msome huyo jamaa niliyemquote na uisome post yangu uliyoiquote.

Ukishamjua kuwa flan ni kichaa haina haja ya kulumbana naye
 
Mmeshampiga chini Tundu Lisu? Tamko kama hilo lilipaswa kutolewa na Tundu Lisu. Je ndo kusema nafasi yake imechukuliwa na mwenzao na wenye Chama?

Lisu aache kampeni aje atoe au asome tamko tu,kuwa na akili wewe,lisu ni mwanasheria mkuu wa chama,vitu kama hivyo ana tumiwa email anafanya review then anaruhusu watu watoe tamko.
 

Hivi JK angekuwa kama Paul Kagame ingekuaje? da ama kweli Tanzania inaonekana tuna hamu sana ya kupata kiongozi dikteta
 
watanzania wengi ni wajinga wa kutupa.... eti tunaanza kushtakiana nje ya nchi si ujinga kabisa huu... hata wao ICC wanatushangaa kwa kweli...

mfia maji haachi kutapatapa
Unataka tukashitaki wapi Kisutu?
 
Hivi JK angekuwa kama Paul Kagame ingekuaje? da ama kweli Tanzania inaonekana tuna hamu sana ya kupata kiongozi dikteta

Hivi unafikiria tukiendelea kuchekeana nchi itasonga mbele ?? Bora dikteta tu ,Kagame sasa hivi ana Boieng za kutosha sisi tunakodisha ndege ambayo sijui iko kwenye matengenezo France na hela ya kukodi inalipwa japo alifanyi kazi ,huku si kuchekeana na manyani
 
machozi ya nguvu ya umma hayawezi kuzuiwa na familia ya kikwete na wafuasi wao kwa maslahi yao, wana wa Mungu tunaihangaikia nchi yetu Mungu yuko pamoja nasi, kitaeleweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…