Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Hilo ndege lenyewe ngazi zake ni ndefu inatakiwa uwe fit kidogo...
 
Reactions: BAK
Mungu amtie nguvu!
 
😂😂! Kweli wameendelea... AyoTv njooni muone
 
Assuming it was in Bongo Mzee wa Mbeya angeshajitokeza hadharani na kujinadi kuwa muda mfupi amezungumza na meneja wa uwanja huo wa ndege na amemuhakikishia kuwa hakuna tukio kama hilo lilitokea😀😀
Pia akamalizia kwa kusema tumepokea kuanguka kwake kwa mikono miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…