Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Kuna mtu hapa Tanzania alikuwa hoi bin mahututi lakini wanasema yuko bize na mafaili. Mwisho wa siku kifo kimewaumbua.Ingekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa, na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
Ingekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa, na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
Trump anampiga kipapai .
Kuanguka kumetokea baada ya Putin kumwambia nakutakia afya njema
Video hii hapa🤣🤣
Wewe wasemaHapo angalikua ni Rais Magufuli enzi za uhai wake wangesem ni Mshamba wa Kusafiri na ndege, kwakua ni Mzungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee itakuwa poa sana hiiHaaa, muda wowote Harris anachukua nchi
Bi Kamara lazima aje ubaoni hapa hakuna namna! ni swala la siku kadhaa tuKaanguka kikamanda, anaonekana yupo fit mzee