Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Jengo la AU limejengwa na Wachina, inasemekana wamepandikiza vifaa vya "kutrepu" watu katika mifumo yake ya mawasiliano
Hivi kwa nini yeye ndo asije kwenye mkutano wa AU huku Africa.
Yani aite nchi zote kama mbuzi huko Marekani wakati yeye anaweza kuja AU Ethiopia.
 
Una uhakika hutaki Microsoft Office, Dell, HP Iphone, Coca-Cola, Pepsi, DHL, Gmail, Yahoo, Boeing, converse, Ford Ranger, Movies, mziki, Hennesy, Jack Daniel, Nike,Levi, Dockers, snickers, pringles, KFC, mieleka vya Mmarekani??
 
"Mabwana wa mshindo nyuma"
Yeyote atakae enda huko lazima abebeshwe majukumu ya kutekeleza kwa lazima atakaporudi kwao..
 
Una uhakika hutaki Microsoft Office, Dell, HP Iphone, Coca-Cola, Pepsi, DHL, Gmail, Yahoo, Boeing, converse, Ford Ranger, Movies, mziki, Hennesy, Jack Daniel, Nike,Levi, Dockers, snickers, pringles, KFC, mieleka vya Mmarekani??
Bibi na babu yako walishawahi kunywa Cocacola? Cha kushangaza kizazi cha waafrika ambacho hakivijui hivi vitu vya wamarekani ndicho kilichokuwa na guts za kudai hata uhuru kutoka kwa mkoloni, hiki cha sasa kinachovijua hivi vitu na baadhi kuvishiriki wanaomba hata mkoloni arudi tena atutawale. RIP Magufuli.
 
Mwamba Wala asingethubutu kwenda huko,,, ungekuta ashajiunga na BRIKS muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…