Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Russia walijua kama Biden anaenda,

Wana utaratibu na sheria ipo ya kuwalinda Diplomats mzee.

Na hazivunji kamwe kwa maslah yao wakubwa.
Wangekuwa wanajua kulikuwa na ulazima Gani wa kusafir na treni masaa 9? Air force 1 SI ipo? Acheni porojo supapawa wa mchongo mwenyewe kaduwaa tu
 
Wangekuwa wanajua kulikuwa na ulazima Gani wa kusafir na treni masaa 9? Air force 1 SI ipo? Acheni porojo supapawa wa mchongo mwenyewe kaduwaa tu

US informed Russia of Joe Biden’s Kyiv visit hours before departure​

Details emerge of how White House planned ‘unprecedented’ visit and meeting with Volodymyr Zelenskiy
Peter Beaumont in Kyiv and Julian Borger in Warsaw!

Hao ni chombo Cha west wamereport hivyo,White house pia wametoa taarifa hiyohiyo, Medvedev pia alisema hivyo!

Wewe NATO wa nanjilinji unakuja na story Yako Toka uvunguni!
Kuweni na mshipa wa aibu,hata kama mmekosa gud news battle field Kwa muda mrefu!Msitafute sehemu ya kupumulia Kwa style hii!
 
Back
Top Bottom