Rais Joe Biden: Ndoa yangu umejengwa kwenye ' Good Sex'

Rais Joe Biden: Ndoa yangu umejengwa kwenye ' Good Sex'

Na ndio maana malalamiko hayaishi!!
Wanalalamika Sana jamani!!
Tatizo wazazi wanakwepa majukumu

Mzazi anamsomesha Mtoto kisha anamwacha badala ya kumpambania mwanae ama aajiriwe au amwezeshe Mtoto afanye Biashara

Wazazi wanasomesha watoto halafu wanaiachia serikali iwape ajira kitu ambacho hakiwezekani

Wewe Mzazi ukishazaa Mtoto hakikisha haumuachi mtoto akiishi maisha ya kimaskini
 
Yupo sahihi,

Ana Nyota ya ng'e (scorpio)

Watu wengi wenye nyota ya ng'e wanapenda sana tendo la ndoa kuliko kitu kingine chochote

Wanapenda pia vita

Wanapenda kula vizuri

Baadhi yao wanapenda sana kusali

Hawa wanazaliwa kati ya tarehe 23 oktoba hadi 22 Novemba
Haya mambo ya nyota tarehe muda mwingine inaangukia saggitarrius muda mwingine scorpio kwann inakuwa hivi
 
Wewe umezaliwa tarehe gani na unapenda kufahamu nini zaidi?

Ndiyo hata sagittarius wanapenda sana tendo la ndoa
Naonaga unakuta tarehe fulani mwezi huu inaangukia kundi fulani la nyota mwezi ujao kundi lingine sasa mtu atajua hasa yupo kundi lipi
 
Tatizo wazazi wanakwepa majukumu

Mzazi anamsomesha Mtoto kisha anamwacha badala ya kumpambania mwanae ama aajiriwe au amwezeshe Mtoto afanye Biashara

Wazazi wanasomesha watoto halafu wanaiachia serikali iwape ajira kitu ambacho hakiwezekani

Wewe Mzazi ukishazaa Mtoto hakikisha haumuachi mtoto akiishi maisha ya kimaskini
Sawa wazazi tumekusikia.
Ila kuna wengine hata Kula yao duni lakini. Ukimaliza shule wanashukuru kupunguza mzigo.
 

Rais Biden wa Marekani anasema msingi wa ndoa yake ni mapenzi motomoto na mkewe, good sex.

Biden anasema huwashauri wasaidizi wake wasiache kufanya mapenzi kadri wawezavyo.

Biden ana miaka 81, kikongwe kabisa lakini bado anapeleka moto ajuza wake, cha ajabu unakuta kijana mdogo wa miaka 20-40 inajiunga na NoFab challenge.

====

He infuriates wife Jill by joking that the key to their 47-year marriage is 'good sex'.

His racy comment has been revealed for the first time by Katie Rogers in her forthcoming book 'American Woman: The Transformation of the Modern First Lady, from Hillary Clinton to Jill Biden,' in an exclusive excerpt obtained by DailyMail.com.

The president gives that marital advice to aides 'much to his wife's chagrin,' reports Rogers, a longtime White House reporter for the New York Times.

Daily Mail
Haya ndiyo mambo tunayotakaka yajadiliwe huku JF. Big up president Joe Biden
 
Take it with a pinch of salt.Habari yenyewe kwa kiingereza inasema alikuwa anatania.Sio kusema kwamba hawezi kabisa lakini haiwezi kuwa good sex kwa viwango vya kawaida.
 
Back
Top Bottom