Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

[/QUOTE]
Na ww kaka unakaa unaamini South Africa,Ethiopia na Rwanda ni safest places!?
Ndugu yumzima kweli?
SouthAfrica kila mwaka ugomvi na mauaji ya xenophobia yanatokea je ni sehem salama kwa wawekezaji?
Ethiopia kila uchwao makabila hupigana na serikali kuu mathalan tigrignia/tigray je hiyo ni sehem salama?
Rwanda bado ukabila wa chini chini upo je huko ni salama?
Embu kuwa serious basi angalau uwe mtafiti sio copy and pasting.
 
Hizi propaganda za kagame zinawapumbaza nyie.
Kipindi cha lockdown Rwanda ya corona ndipo uhalisia wa Rwanda ulioneshwa.
Ni nchi yenye njaa kali ikishindana na Kenya upande wa Turkana kesha unaipaje sifa zote hizo?
Hata kiusalama bado sana Rwanda maanaa bado ukabila baridi upo.
Hizi rikodi za kujifariji mbaya sana zinaenda kinyume na uhalisia.
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 
Na ww kaka unakaa unaamini South Africa,Ethiopia na Rwanda ni safest places!?
Ndugu yumzima kweli?
SouthAfrica kila mwaka ugomvi na mauaji ya xenophobia yanatokea je ni sehem salama kwa wawekezaji?
Ethiopia kila uchwao makabila hupigana na serikali kuu mathalan tigrignia/tigray je hiyo ni sehem salama?
Rwanda bado ukabila wa chini chini upo je huko ni salama?
Embu kuwa serious basi angalau uwe mtafiti sio copy and pasting.
[/QUOTE]
Click to expand...
Viva Samia Viva

Mimi ni chadema ila Samia dam
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Safari zote alizofanya samia ni muhimu na zineleta faida kubwa kwenye nchi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kumlinganisha Samia na Kagame ni kumuaibisha. Yule ni dikteta anayefuja nchi yake kwa manufaa binafsi wakati Samia ni rais wa Tanzania. Isitoshe nchi zinazotawaliwa na madikteta kama Rwanda, Uganda, Gabon, Togo, Equatorial Guinea, Cameroon wananchi hawana uhuru wa kuhoji bali kuburuzwa. Ukihoji wanakupoteza. Pia si vizuri kujilinganisha na majizi na wagonjwa kisiasa.
 
Kwanini
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
kutupima na Rwanda
 
Nikweli ila kusafiri ni Safari tu
 
Paul kagame anamiradi yake huko nje,kwannza ni mmoja Kati ya wamiliki ya club ya arsenal(anahisa zake kibao tu pale),pia ana masupermarket kibao huko,ana maduka ya fedha huko nje,ana miliki visima vya mafuta huko ,anafanya biashara za usafiri wa majini huko nje,so safari nyingi alizofanya fanya sio za kiserikali ,ni za Mambo yake binafsi ikiwemo biashara zake!!!
 
Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Daaah
H
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…