Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
CCM hakunaga cha kulipwa ni Uzalendo tu wa watu kwa chama chao,Hii ID naona imekuja mpya kwa mkakati maalum wa kumtetea hangaya.
Kila term huwa zinakuja Id mpya kwa ajili ya wakati huo tu.
Probably huwa zinanufaika na utawala wa awamu hiyo.
Wakina kawe alumn na wenzie sahivi wamepotea baada ya mwendazake kwenda zake.
Mkuu hongera ni muda wako wa kula keki.
Hiyo ni ccm ya nyerere sio ya sasa hivi mkuu.CCM hakunaga cha kulipwa ni Uzalendo tu wa watu kwa chama chao,
Labda ndio hao wanakuja na "ID"mpyaHiyo ni ccm ya nyerere sio ya sasa hivi mkuu.
Kama ni hivo wengine wanapotelea wapi baada ya awamu kupita?
Hahaa wanabadili ID kila baada ya awamu kupita?Labda ndio hao wanakuja na "ID"mpya
Kazi iendeleeHahaa wanabadili ID kila baada ya awamu kupita?
Asee watakuwa ni "mazuzu" basi.
kwani mama hakuwa na huo msafara?Msafara wa Magu ulikuwa na magari mpaka helkopta za kejeshi ni gharama kubwa sana kuliko huu wa Mama
wewe ni mboge la mpumbavu..kwamba bomba la mafuta limerudishwa Tanzania na Samia..kweli?Nikupe faida chache za baadhi ya safari tisa za Rais Samia ,
Alipokwenda Uganda alienda kubatilisha Mkataba wa bomba la mafuta uliokuwa unaendelea baina ya Rais Museni na Rais Uhuru Kenyatta na akafanikiwa kuurudisha mikononi mwetu,
1.Mradi huu wa bomba la mafuta unathamani ya $15BL karibu Tshs 33trl hizi pesa kwa kiasi kikubwa zitawanufaisha Watanzani,
2. Mradi huu utaajiri watu elfu 10
3. Tanzania itapata gawio katika kila pipa la mafuta likalosafirishwa,
HII NI SAFARI MOJA TU YA RAIS SAMIA
_____________________________________
Hujui nini?wewe ni mboge la mpumbavu..kwamba bomba la mafuta limerudishwa Tanzania na Samia..kweli?
Huu ndio ukweli mjombawewe ni mboge la mpumbavu..kwamba bomba la mafuta limerudishwa Tanzania na Samia..kweli?
Unachobisha hapa ni nini?wewe ni mboge la mpumbavu..kwamba bomba la mafuta limerudishwa Tanzania na Samia..kweli?
DaahHii ID naona imekuja mpya kwa mkakati maalum wa kumtetea hangaya.
Kila term huwa zinakuja Id mpya kwa ajili ya wakati huo tu.
Probably huwa zinanufaika na utawala wa awamu hiyo.
Wakina kawe alumn na wenzie sahivi wamepotea baada ya mwendazake kwenda zake.
Mkuu hongera ni muda wako wa kula keki.
Au tukupime na israel?Unatupima na kawilaya mzee?
Comment of the dayNafurahi kuona CCM yangu ya Zamani ya hoja inarudi kwa kasi,
Siasa ni hoja kwa hoja,
Awamu hii Chadema mtajua hamjui,
KAZIIENDELEEWe umeshachoka kuimba mapambio
😍😍 NimechekaAu tukupime na israel?
Rwanda unaifuatilia?Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.
100%Nakubaliana na mleta mada, investors wanapopata assurance kutoka kwa namba moja hata confidence ya kuja kuwekeza inakuwa juu.