Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

KAZIIENDELEE kwa mwendo huu huu,
 
Misukule ya dikteta ndio inampinga Rais kwa kila jambo
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
 
#happy birthday Tanganyika
 
Yaani waja wamemkalia kooni balaa... Ziara zenyewe ni za kikazi na bahati Nzuri ziara zinafanyika kwa uwazi na matokeo yanaonekana.
Wanasahau tangu akiwa makamu yeye ndio alikua anawakilisha nchi kimataifa kwahiyo Sasa hivi anaendeleza tu kazi ile ile. Sas kelele sijui za nini
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Wanapangwa tu
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…