Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

How much you export? Do u know BOP?
 
Mwamba unanyookaga balaaa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Sisi sio Rwanda, hatuwezi kuendelwza kwa ku copy yafanyikayo Rwanda
Kagame muoga kusafiri akikaa huko anaweza kuta nchi siyo yake tena!! ataambiwa bwane wee geuka!!! geuka!! Ntaryamira alijifanya mjanja baada ya kupewa onyo RPF Ya kagame mnajua kilichomkuta!!

Kagame anajua kuwa ukiua kwa upanga jiandae kufa kwa upanga sasa nyie watu aende huko hajipendi kwani?? nawauliza! lkn Bongo wewe lala kabisa huko hata mwaka nchi itaenda tu!! Kazi ya moshi wa Mwenge wa uhuru haijawahi kukosea kitu!

Siku ikitokea Rais kichaa mmoja aukatae Mwenge wa uhuru, ndo mwanzo wa machafuko Tanzania! msiifute hii kauli yangu!! na mtanikumbuka!
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
Kama CCM wangemchagua Samia Suluhu kuwa mombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.

Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.

Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK.
 
Hakika tungekuwa mbali sana
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kagame kaiunganishia Rwanda ile biashara ya Arsenal na PSG ya Visit Rwanda. Leo hii Messi anavaa jezi yenye maneno yanayomkaribisha mtu Rwanda.

Kagame ni genious kwa maana halisi. Mama kufanya Royal Tour wajuaji wa Tanzania wakaanza kuchonga midomo kama kawaida yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…