Rais Kagame: Naunga mkono amani ya Congo DR, ila Rwanda ikichokozwa itajibu mapigo na watajuta kuifahamu

Uzuri East Africa haina maneno mengi. Yenyewe inataka waasi wasiwepo Congo. Hizi nyingine ni riwaya.
Kabisa.
Labda anamaanisha hao waasi wakikimbilia Rwanda wasiguswe.
Sasa ndio utajua nani anawatuma.
Muda ni mwalimu mzuri....
 
Maneno mengi ya nini? Mchokozeni muone....!!!!!
Tulipiga m23 wake mpaka akawarudisha Rwanda kwa muda akamnununia kikwete. Angejaribu na ushoga wake alafu aone. Usimpe sifa ambazo Hana. Anatumiwa na mabwana zake kuiba congo Leo anajifanya ana nguvu mpuuzi kweli. USEME MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA ILITAKIWA WARUHUSU TUPIGE WAVAMIZI WA CONGO NA NCHI WATAKAYOKIMBILIA TUNAITANDIKA NAYO UONE KAMA ANGEBINUA BAKULI LAKE MUUWAJI MKUBWA NA MNUKA DAMU ZA WATU.
 
Kabisa.
Labda anamaanisha hao waasi wakikimbilia Rwanda wasiguswe.
Sasa ndio utajua nani anawatuma.
Muda ni mwalimu mzuri....
Rwanda kama ina nia njema itulie tu hao waasi washughulikiwe. Kama ana nia njema atume na fungu la fedha kwa serikali ya DRC itasaidia kwenye kupambana.
 
Tulipiga m23 wake mpaka akawarudisha Rwanda kwa muda akamnununia kikwete. Angejaribu na ushoga wake alafu aone. Usimpe sifa ambazo Hana. Anatumiwa na mabwana zake kuiba congo Leo anajifanya ana nguvu mpuuzi kweli. USEME MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA ILITAKIWA WARUHUSU TUPIGE WAVAMIZI WA CONGO NA NCHI WATAKAYOKIMBILIA TUNAITANDIKA NAYO UONE KAMA ANGEBINUA BAKULI LAKE MUUWAJI MKUBWA NA MNUKA DAMU ZA WATU.
Hicho ndicho kilitakiwa naanaewafadhir akamatwe.
 
"kuwa ana uwezo mkubwa kuliko Marais wengi wa Afrika na baadhi kwingineko wanywa wine, washinda na eanawake (wadada) kutwa faragha na wazururaji wa kwenda kununua pafyumu za gharama Ulaya, nguo za ndani (vyupi na boksa) na kutibiwa na madaktari wa gharama wa kikoloni (Ulaya, Marekani na Asia), wakati hata huku kwetu barani Afrika wamejaa wengi na wana uzalendo uliyotukuka"

Mwisho wa kunukuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rwanda iwatishie Makubwa Jinga Yale ya DRC iishie huko yeye anajua na M 23 yake Tanzania tulimpiga akachakaa...Basi tu siku hizi hatukai mbele sana kimataifa kama zamani..tungeshamnyuka akashangaa tena batalion moja tu Kagame atalia....Yeye anachochea na kufadhilli haya mambo....
 
Hako karwanda hata mgambo wa jiji la Dar wakipewa mizinga na vifaru wanakachakaza kwa muda wa saa sita tu.
 
Hakika umeweka vzr na pia nimeona video hyo akazungumza kwa kiswahili alilenga waKenya waelewe kitu anachozungumza

Alizungumza kwa kujiamini San nimependa alvyo address taifa kwa lugha yetu
Huyo ana mikwala tu
 
Alimwambia Mstaafu wenu 'Kikatiba' kuwa anaongoza 'Maiti' na kwamba hana Akili pia.
Anawajua hao maiti vizuri,walimnyoosha drc na wanalisha taifa lake kila siku,anataka tuwe na vurugu na Vita ndiyo tusiwe maiti!!?..anafurahia kilichotokea 1994,ndiye muasisi wa yale
 
Hamia Rwanda, usitupigie kelele zako hapa
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."

"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."

"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani huenda nikawa ni mmoja wa watu na wapiganaji walioshiriki vita, hivyo najua madhara yake."

"Kuna ndizi fupi na ndefu lakini kuna watu wanatudharau na kutuona Rwanda ni kama ndizi ndefu, ila nawaambia tuko imara kivita pengine kuliko wanavyojidanganya."

"Nani kawaambia vita inaamriwa na ukubwa wa kijiografia wa nchi? Rwanda ina jeshi imara na lililokamilika katika kila idara na tukichokozwa tu, hao wanaotuchokoza watajuta kutufahamu"

"Amani ya Congo DR ni muhimu na naiunga mkono ila wajue pia kuwa hata amani ya Rwanda nayo ni muhimu vile vile na tunajua athari za vita pengine hata zaidi yao. Acha waendelee kutudharau Rwanda mpaka wakituchokoza ndipo watajua na wataujua uwezo wetu"

Chanzo: BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo

Ukiona mpaka GENTAMYCINE anampenda Rais genius and hero Paul Kagame wa Rwanda jua nimeshajiridhisha kuwa ana uwezo mkubwa kuliko Marais wengi wa Afrika na baadhi kwingineko wanywa wine, washinda na eanawake (wadada) kutwa faragha na wazururaji wa kwenda kununua pafyumu za gharama Ulaya, nguo za ndani (vyupi na boksa) na kutibiwa na madaktari wa gharama wa kikoloni (Ulaya, Marekani na Asia), wakati hata huku kwetu barani Afrika wamejaa wengi na wana uzalendo uliyotukuka.
 
Ujinga
 
Back
Top Bottom