kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Nashangaaa sana watuu wanakuona una akili"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."
"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."
"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani huenda nikawa ni mmoja wa watu na wapiganaji walioshiriki vita, hivyo najua madhara yake."
"Kuna ndizi fupi na ndefu lakini kuna watu wanatudharau na kutuona Rwanda ni kama ndizi ndefu, ila nawaambia tuko imara kivita pengine kuliko wanavyojidanganya."
"Nani kawaambia vita inaamriwa na ukubwa wa kijiografia wa nchi? Rwanda ina jeshi imara na lililokamilika katika kila idara na tukichokozwa tu, hao wanaotuchokoza watajuta kutufahamu"
"Amani ya Congo DR ni muhimu na naiunga mkono ila wajue pia kuwa hata amani ya Rwanda nayo ni muhimu vile vile na tunajua athari za vita pengine hata zaidi yao. Acha waendelee kutudharau Rwanda mpaka wakituchokoza ndipo watajua na wataujua uwezo wetu"
Chanzo: BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo
Ukiona mpaka GENTAMYCINE anampenda Rais genius and hero Paul Kagame wa Rwanda jua nimeshajiridhisha kuwa ana uwezo mkubwa kuliko Marais wengi wa Afrika na baadhi kwingineko wanywa wine, washinda na eanawake (wadada) kutwa faragha na wazururaji wa kwenda kununua pafyumu za gharama Ulaya, nguo za ndani (vyupi na boksa) na kutibiwa na madaktari wa gharama wa kikoloni (Ulaya, Marekani na Asia), wakati hata huku kwetu barani Afrika wamejaa wengi na wana uzalendo uliyotukuka.
Lkn huna lolote ,wewe ni wakawaida sanaa ,umebaki kusifia wanaume wenzako na huna maana yoyote
Na jinsi ulivyokuwa kijana wa ivyo
Kila siku umekuwa ukituandikia mapambio ya kusifia watu hapaa na kukopy maandiko ya watuu mfano hapo juu you just copy BBc
Una tofauti gani na huyu Lucas mwenye kutafuta Huruma huko CCM kijana mwenye akili unasifia watuu
Jitafakari