Rais Kagame: Naunga mkono amani ya Congo DR, ila Rwanda ikichokozwa itajibu mapigo na watajuta kuifahamu

Nashangaaa sana watuu wanakuona una akili

Lkn huna lolote ,wewe ni wakawaida sanaa ,umebaki kusifia wanaume wenzako na huna maana yoyote

Na jinsi ulivyokuwa kijana wa ivyo

Kila siku umekuwa ukituandikia mapambio ya kusifia watu hapaa na kukopy maandiko ya watuu mfano hapo juu you just copy BBc

Una tofauti gani na huyu Lucas mwenye kutafuta Huruma huko CCM kijana mwenye akili unasifia watuu

Jitafakari
 
ndege vita ya congo ilipotua ardhi ya rwanda alifanya nn huyo kikaragosi
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Mweupe tu huyo hana lolote. JK alimpelekea moto mpaka akaufyata
 
Wanamume wa Shoka hawa ambao nawaonya Watanzania msije mkajidanganya na Kuthubutu Kupigana nao kwani ndani ya muda mfupi tu nchi yenu itakuwa ni Mali ya Rwanda na nyote mtakuwa Watutsi na mtajifunza na hata kuanza Kuongea Kinyarwanda na Kifaransa vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…