Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko imara kwenye mipaka yetu,Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Ishu ya mipaka ilishakuwa settled zamani sana anayetaka kuzusha haya mambo anatafuta yatakayompata sababu hata hao wanaoishi maeneo hayo japo wana ukaribu na undugu na walio Malawi lakini hawatamani kuwa wamalawi maana ukiwa ndani ya Tanzania kuna faida zake nyingi zaidi kushinda nchi zote zinazituzunguka. I believe kama kuna watu wanataka kuhamia malawi ni heri waende kimyakimya tusijaribiane wandugu mtatuona wabaya.
They are stupid najua hata wakati wa uongozi wa yule mama ndio alianzisha hii chokochoko, aisee pale panalindwa kuliko wanavyodhani na hatutaachia hata hatua moja mipaka ilishakuwa settled zamani so wasitutafute ubaya sababu wanajua vema uwezo tulionao.
Mkuu ukiangalia kwa jicho la Tatu utagundua mipaka iko wazi kabisa kwa sababu dunia ya leo watu wanaiba kwa kutumia kalamu , watu wanatumia akili, sisi tunapumbazwa na maneno ya kitapeli tu utasikia mara Diplomasia Mara uwekezaji, hiyo yote ni wizi tu.Tuko imara kwenye mipaka yetu,
Huko kwenye dipii world, misitu na mbuga ni katiba inayompa mamlaka makubwa raisi (kweli tumepigwa).
Lakini mipaka ya Tanzania sio ya kuchezea ulinzi wake upo chini ya (JWTZ) hakuna siasa hapo.
Mengine ni kuomba mungu tu na kuwaachia wanasiasa.
Kiongozi ya ndani kwetu ni magumu, kutokana na katiba yetu; mengine kuyaongelea sio salama.Mkuu ukiangalia kwa jicho la Tatu utagundua mipaka iko wazi kabisa kwa sababu dunia ya leo watu wanaiba kwa kutumia kalamu , watu wanatumia akili, sisi tunapumbazwa na maneno ya kitapeli tu utasikia mara Diplomasia Mara uwekezaji, hiyo yote ni wizi tu.
Wenzetu siasa zao wanafanya kisayansi na kutumia hesabu kali ila sisi tumekalia porojo tu. Hivi unajua kuna ndege binafsi zinatua direct huko migodini na mbugani? Unajua zinabeba mali kiasi gani? Unajua mwelekeo wa dunia kwenye matumizi ya Nishati ya Gesi? Unajua sisi tuna huge deposit ya Gesi ila hatuwezi kunufaika ipasavyo? Jeshi badala ya kulinda rasilimali za nchi linatumika kulinda maslahi ya watu wachache na kuizanisha nchi.
Shtuka mkuu dunia ya sasa haipigani vita kwa mitutu na mabomu bali kwa maneno, kalamu, akili kubwa na mahesabu makali.
Malawi ni desperate, wanajitekenya na kucheka wenyewe tu (ni waropokaji). Akili zao uwa zinawatosha wenyewe. Washawahi zusha tunaingilia uranium yao (as if kuna nchi east Africa) inaweza fanya uranium enrichment.They are stupid najua hata wakati wa uongozi wa yule mama ndio alianzisha hii chokochoko, aisee pale panalindwa kuliko wanavyodhani na hatutaachia hata hatua moja mipaka ilishakuwa settled zamani so wasitutafute ubaya sababu wanajua vema uwezo tulionao.
Africa iligawanywa na wazungu ikawekwa mipaka kila nchi ikapigania uhuru wake na kulinda mipaka yake. Haya yanayokuja kuibuka baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru ni uhuni tu na hakika hakuna ardhi wataipata kama ni ziwa Nyasa tulishakubaliana miaka kibao ligawanywe katikati na hiyo imekuwa hivyo miaka yote sasa haya wanayoleta kuna kitu wanakitafuta na watakipata watanzania sio wapole kiasi hicho mbona tunawaacha tunwanakaa kwetu hatuwapi shida hata kuwasumbua kuhusu permits zao? Si tunaishi nao tu ? Hakika kwa hili diplomasia ikishindwa naamini kila mtanzania atakuwa tayari kuvaa konbati na kuingia front uzuri watanzania halisi tunajijua when it comes to national interests.
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.Ishu ya mipaka ilishakuwa settled zamani sana anayetaka kuzusha haya mambo anatafuta yatakayompata sababu hata hao wanaoishi maeneo hayo japo wana ukaribu na undugu na walio Malawi lakini hawatamani kuwa wamalawi maana ukiwa ndani ya Tanzania kuna faida zake nyingi zaidi kushinda nchi zote zinazituzunguka. I believe kama kuna watu wanataka kuhamia malawi ni heri waende kimyakimya tusijaribiane wandugu mtatuona wabaya.
Kwa huyu Chizimkazi km ana hela atapewa mpaka Makambako sio Njombe tu akiweza mpaka Tabora yote atapewa ni hela yake tu, kuna vijiji watu wanafukuzwa wameishi hapo kabla ya Uhuru leo wanaambiwa wapo ndani ya eneo la hifadhi wahame wapishe mwekezajiHii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.
Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.
Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.
Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Huyu alikuwa mbwa aliyechaguliwa kuwa rais kimakosa. Hana tofauti na chawa tunawaona kwa sasa.Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
View attachment 3186715
Dah!Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
View attachment 3186715