Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Sema nchi hii nayo now imekuwa shamba la bibi kila mtu anajichotea apendavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Siasa zetu ni mzaha, kwa sasa TISS ni mzaha; Lakini JWTZ aina mzaha hasa kwenye mipaka yetu.Ngoja nishauri tupeleke kikosi kikaweke kambi upande wa pili tuchukue kama 100km kutoka ziwani.
Labda ndiyo watatuelewa vizuri.
Daaah kweli unajua Raman vizuriSehemu pekee ambako unakutana na watanzania ambao unahisi hawa hawakupaswa kuwa watanzania ila kuwa wamalawi nafikri ni vijiji vyote vulivyo karibu na Nang'ombo mwaziwa nyasa nyumbani kwao Judge Samatha na maeneo fulani ya Ileje. Kule lugha wanayozungumza ni ya Malawi kabisa. Yote kwa yote mipaka iheshimiwe maana ikisemwa maeneo yote yachukuliwe itakuwa shida. Kuna maeneo fulani ya Mhukuru Ruvuma kule ndani kabisa mambo mengi yanafanyika ni ya nchi ya msumbiji. Bidhaa zinatoka msumbiji hadi Kanga za kina Frelimo na Fanta ni za huko..
Fikiria Wazambia pia wakiamua kuchukua eneo la Wamambwe kule mambwe Kenya Rukwa pia linaweza enda Zambia maana wakina Sinkala ndio watawala wa eneo la Tanzania na Zambia kule mpakani.
Hamia huko wewe kwan umezuiliwaSisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Naomba kujua kuhusu ziwa VictoriaNgoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Shule zifunguliwe tuu..Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Huyu kibaraka wa makaburu alifanya haya makusudi Ili kuiyumbisha nchi yetu isiunge mkono Uhuru na ukombozi wa Africa Kusini.Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
View attachment 3186715
Ni kama mzaha mzaha vile; lakini kumbe hakuna hata chembe ndogo ya mzaha ndani yake! Tunapigwa kama hatunazo vichwani mwetu.Tungekomaa na kwenye Dhahabu na Gesi yetu ingependeza sana !
Alisikika Mwamba mmoja akisema
“Tumepigwa “ 😳😱
Rest in peace JPM 🙏🙏
Unataka kujuwa nini?Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
Babu Acha kuzingua,Yupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...
Cc: Mahondaw
Soon tutaishi kama digidigiNgoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
View attachment 3186715