Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Sehemu pekee ambako unakutana na watanzania ambao unahisi hawa hawakupaswa kuwa watanzania ila kuwa wamalawi nafikri ni vijiji vyote vulivyo karibu na Nang'ombo mwaziwa nyasa nyumbani kwao Judge Samatha na maeneo fulani ya Ileje. Kule lugha wanayozungumza ni ya Malawi kabisa. Yote kwa yote mipaka iheshimiwe maana ikisemwa maeneo yote yachukuliwe itakuwa shida. Kuna maeneo fulani ya Mhukuru Ruvuma kule ndani kabisa mambo mengi yanafanyika ni ya nchi ya msumbiji. Bidhaa zinatoka msumbiji hadi Kanga za kina Frelimo na Fanta ni za huko..

Fikiria Wazambia pia wakiamua kuchukua eneo la Wamambwe kule mambwe Kenya Rukwa pia linaweza enda Zambia maana wakina Sinkala ndio watawala wa eneo la Tanzania na Zambia kule mpakani.
Daaah kweli unajua Raman vizuri
Kule mambwe Kenya kalembe mpanga kasyesya
Watu wenye akili wanajua kuzitumia vzr kweli kweli wazalendo naamin wameelewa
 
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Hamia huko wewe kwan umezuiliwa
Kwa nn hadi usubir kupiga kura?
 
Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
 
KENYA nao waje wadai mlima wao tulio wataperi
Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
 
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.

Nini kinakuzuia kwenda Malawi na kuwa mmalawi Mpaka usubiri kupiga Kura?
 
Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Shule zifunguliwe tuu..
 
Yupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...

Cc: Mahondaw
 
Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
Unataka kujuwa nini?
Baada ya Malawi kufanikisha takwa lake la mpaka hapo ziwani; Kenya na wao watadai wakoloni walikosea kuwapa kipande kiduchu cha Victoria. Wanataka mpaka usogezwe; ikiwezekana tule tu-visiwa twote twa Ukerewe tuhamishiwe Kenya!!

Wewe unaonaje, si wanayo haki ya kudai?
 
Yupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...

Cc: Mahondaw
Babu Acha kuzingua,
tabia za watu wa huko? Unamaanisha watu wa Mbeya, Njombe, na Ruvuma Wana tabia kama za Wamalawi? Yaani ume-generalize watu wote. Kumbe hata nyanda za juu kusini hujawahi kuzunguka maeneo yote. Pengine hata hujawahi kufika.

Inamaana Mkimbu wa Lupa anatabia sawa na za Wamalawi?
Msangu WA Mbalali ana tabia sawa na za Wamalawi?
Mbena wa Njombe anatabia sawa na za Wamalawi?
Mtu wa Gua anatabia sawa na za Wamalawi?
Wabungu wa Udinde wanatabia sawa na za Wamalawi?
==========================

Labda ungeniambia Wandali, Wanyasa, na Wanyakyusa kidogo Wa Kyela ndiyo jamii wanaofanana na Wamalawi.

Smart911 naona umeamua kutema shombo hapa ili kujifurahisha.
 
Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Soon tutaishi kama digidigi
 
Back
Top Bottom