Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hata huyo Kenya ukija kwenye ubora wa raia mmoja mmoja mKenya hamkuti mTanzania.Hamia huko. Acha kufananisha nchi maskini kama Malawi na Tanzania. Malawi ni nchi maskini kupindukia. Walipatwa na janga la mafuriko kumbe hata helikopta za kutosha hawana ikabidi wasaidiwe na Zambia. Kwa sasa jirani aliyetuzidi maendeleo ni Kenya tu. Zambia, Malawi, Burundi, Uganda, Rwanda,DRC na Msumbiji hawatuambii chochote.
Mfano Ardhi tu, imeshikwa na wachache huku kwetu hata mpare aliyetoka kijijini mbaga akishauza tangawizi zake anaweza miliki kiwanja akajenga karibu na bahari sababu vinanunulika. Ukija kwenye msosi ndo usiseme.