Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Unapuga kura ili iwe nini kama unataka kuhamia malawi si unaenda tu au mpaka uvunje international borders ? Kama unaona kuna maisha mazuri huko we vuka hamia huko tuone kama watakupikea kirahisi kama unavyodhani.

Sisi hatutoi ardhi yetu anayetaka ahamie malawi ila ardhi ni yetu watakaa watanzania.
 
They are stupid najua hata wakati wa uongozi wa yule mama ndio alianzisha hii chokochoko, aisee pale panalindwa kuliko wanavyodhani na hatutaachia hata hatua moja mipaka ilishakuwa settled zamani so wasitutafute ubaya sababu wanajua vema uwezo tulionao.

Africa iligawanywa na wazungu ikawekwa mipaka kila nchi ikapigania uhuru wake na kulinda mipaka yake. Haya yanayokuja kuibuka baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru ni uhuni tu na hakika hakuna ardhi wataipata kama ni ziwa Nyasa tulishakubaliana miaka kibao ligawanywe katikati na hiyo imekuwa hivyo miaka yote sasa haya wanayoleta kuna kitu wanakitafuta na watakipata watanzania sio wapole kiasi hicho mbona tunawaacha tunwanakaa kwetu hatuwapi shida hata kuwasumbua kuhusu permits zao? Si tunaishi nao tu ? Hakika kwa hili diplomasia ikishindwa naamini kila mtanzania atakuwa tayari kuvaa konbati na kuingia front uzuri watanzania halisi tunajijua when it comes to national interests.
Hawatujui hao.
 
Hii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.

Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.

Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.

Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Na akikomaa? Mzee Kamuzu Banda aliwahi kuja kwa Mwalimu Nyerere na liramani lake Mwalimu aliishia kumwangalia yeye Mzee Banda hadi akaona aibu na kuikunja ramani yake na kuirudisha kwenye mfumo wake wa suruali.

Sasa hawa wa leo wanajitafutia balaa tu!
 
Mkuu ukiangalia kwa jicho la Tatu utagundua mipaka iko wazi kabisa kwa sababu dunia ya leo watu wanaiba kwa kutumia kalamu , watu wanatumia akili, sisi tunapumbazwa na maneno ya kitapeli tu utasikia mara Diplomasia Mara uwekezaji, hiyo yote ni wizi tu.

Wenzetu siasa zao wanafanya kisayansi na kutumia hesabu kali ila sisi tumekalia porojo tu. Hivi unajua kuna ndege binafsi zinatua direct huko migodini na mbugani? Unajua zinabeba mali kiasi gani? Unajua mwelekeo wa dunia kwenye matumizi ya Nishati ya Gesi? Unajua sisi tuna huge deposit ya Gesi ila hatuwezi kunufaika ipasavyo? Jeshi badala ya kulinda rasilimali za nchi linatumika kulinda maslahi ya watu wachache na kuizanisha nchi.

Shtuka mkuu dunia ya sasa haipigani vita kwa mitutu na mabomu bali kwa maneno, kalamu, akili kubwa na mahesabu makali.
You hit the jackpot 🎰 !
Umemaliza 🙏
 
K
Hii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.

Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.

Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.

Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Duuu hatari kwa umaskini uliopo Malawi hii hatari haya ndo mambo ya Ukraine na urus
 
Ngoja waje...Tanzania tumekuwa shamba la bibi, ziwa nyasa hilo linakwenda, ziwa victoria tayari tumepigwa pini, Bagamoyo nayo Zanzibar wanaivutia pumzi waibebe...Bandari,mito na maziwa makuu tumekabizi Dipiiweldi, Mbuga zote na Misitu , tumekabizi kwa waarabu, Madini na Gesi tumekabizi kwa Mchina na Mzungu wanajichotea wanavyotaka...Mwisho wa siku tumebaki na Pumbu tu Mazafanta, #Tusi
Hahahaha!!!!
 
Kabla ya hata kusikiliza huu upuuzi wa Kamuzu Banda; you knew kupitia kwenye mada ya:

Wengine tuliandika ipo siku watasema sio ziwa tu Nyasa, bali sehemu za Tanzania ni zao.

Kama Ukifuatilia mada yote ndio uelewa kwa nini wengine tulitaka yule Zanzibar-ASP anyofolewe kucha kwa ule upuuzi alioandika.

Hana heshima na mipaka ya Tanzania.
Ngoja nishauri tupeleke kikosi kikaweke kambi upande wa pili tuchukue kama 100km kutoka ziwani.

Labda ndiyo watatuelewa vizuri.
 
Back
Top Bottom