Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Unapuga kura ili iwe nini kama unataka kuhamia malawi si unaenda tu au mpaka uvunje international borders ? Kama unaona kuna maisha mazuri huko we vuka hamia huko tuone kama watakupikea kirahisi kama unavyodhani.

Sisi hatutoi ardhi yetu anayetaka ahamie malawi ila ardhi ni yetu watakaa watanzania.
 
Hawatujui hao.
 
Na akikomaa? Mzee Kamuzu Banda aliwahi kuja kwa Mwalimu Nyerere na liramani lake Mwalimu aliishia kumwangalia yeye Mzee Banda hadi akaona aibu na kuikunja ramani yake na kuirudisha kwenye mfumo wake wa suruali.

Sasa hawa wa leo wanajitafutia balaa tu!
 
You hit the jackpot 🎰 !
Umemaliza 🙏
 
K
Duuu hatari kwa umaskini uliopo Malawi hii hatari haya ndo mambo ya Ukraine na urus
 
Hahahaha!!!!
 
Ngoja nishauri tupeleke kikosi kikaweke kambi upande wa pili tuchukue kama 100km kutoka ziwani.

Labda ndiyo watatuelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…