ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Soma Pia: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa