Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,940
.
kinachompa kiburi mwali hadi kususia mechi.Nyuma mwiko hilo pazia la nn
Wewe utakufa na unyani/umbwa wakoNa wewe utakufa na umbumbumbu wako
Nguvu gani Bana upumbavu na utoto Tu...Nyie ni fungu la kukosa tu! Acheni uoga leteni Timu uwanjani kipigwe..Mtaruka ruka Sana na hamtashinda. Hata rekodi zenu huko CAS mnatambulika kama Timu ya hovyo hakuna atakaekuwa serious na madai yenu. Tena mtajibiwa fastaa na mtaufyataNimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Soma Pia: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
Sawa mremboNguvu gani Bana upumbavu na utoto Tu...Nyie ni fungu la kukosa tu! Acheni uoga leteni Timu uwanjani kipigwe..Mtaruka ruka Sana na hamtashinda. Hata rekodi zenu huko CAS mnatambulika kama Timu ya hovyo hakuna atakaekuwa serious na madai yenu. Tena mtajibiwa fastaa na mtaufyata
NYUMA MWIKO
MASIKINI ASIYE NA KIAPO
MTALETA TU TIMU UWANJANI
LA SIVYO MKACHEZE NA LEO TENA
NI LINI UTOPOLO AMEWAHI KUSHINDA KESI?...
Kila siku ni nyinyi na madeni FIFA kuwafungia..
Huyu msomali wa Kisimayu hatufai tifuatifua.Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Soma Pia: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
Wanaleta mambo yao ya ushabiki kwenye mambo ya msingi! Hopeless kabisa.Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Soma Pia: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
labda yeye na karia wamehakikishiwa kutokufa na Bodi Ya Ligi na TFFNa wewe utakufa na umbumbumbu wako