Mmekaa huko mmeshiba mihogo mnataka bodi ijiuzulu mna akili kweli.Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
Dogo tafuta cha kufanya huyo Hersi kuna siku atakufa. Aache kukudhalilisha kiasi hicho.Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
Muda wa kuiona nguvu ya Yanga umewadiaMmekaa huko mmeshiba mihogo mnataka bodi ijiuzulu mna akili kweli.
sasa aliyeahirisha mechi ni karia au bodi ya ligi..
sasa ole wenu msitokee mnashushwa daraja mkacheze na kiluvya fc na leo tena fc
Kinachowauma mmetumia milioni 50 kwa waganga halafu kiendacho kwa mganga hakirudi. Eti mabasi 3, ulikuwa unayaendesha wewe?Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Soma Pia: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
NYUMA MWIKOMuda wa kuiona nguvu ya Yanga umewadia
Ngoja TFF na mpira ufungiwe kisa upumbavu wa viongozi wa mpira
Pole mremboTunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.
Ambapo alitoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.
Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
View attachment 3274483
sawa mama la mamaPole mrembo
Yalikuwa 3 na yote ulikuwa unaendesha weweYalikuwa mangapi?
Tofauti na hii ishu, n lini ulijua karia n shabiki wa simba?Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi
Karia ulituhujumu Yanga Kwa miaka 4, huku ukiibeba Simba Kwa kuipa vipolo vingi na kushirikiana na wanasiasa kumwonea na kumbambikia kesi aliyekuwa mfadhili mkuu wa Yanga Yusuph Manji,
na waamzi walioipendelea Simba
Soma Pia: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?
Muda wako wa kukalia hicho kiti umefika mwisho kama utabisha utakuja kuiona nguvu ya Yanga
Huu ulikuwa mpango ambao TFF, bodi ya ligi na Simba walikuwa na agenda ya kuhujumu Yanga, na kuwapa ushirikiano Simba wa kukimbia mchezo Kwa sababu ya timu ya Simba kuwa dhaifu kutokana na wachezaji wao muhimu kuwa na majeraha
Rais Karia ameongea ovyo sana kusema kuwa aliinusuru Yanga kuliko Simba, aliinusuru kwenye lipo, hasara ya million 56,435,000
Usumbufu wa mashabiki wa Yanga na mengine
Karia anashindwa kujiuliza kama pale TFF Yanga waliwahi kupeleka watendaji wanaoitwa mabaunsa,
Baunsa Gani wazuie Simba wenye mabasi 3 na msafara wa police?
Kwamba police walinyosha mikono juu na kukubali kushindwa nguvu na hao mabaunsa
Karia usitukwaze amua Kwa haki
Yanga bingwa
Nyuma mwiko hilo pazia la nnKaria, karia, karia nimekwita mara tatu, sasa wakati umefika wa kuachia kiti. umeonesha dhahiri upo upande wa Simba..sheria umeiweka kando Wanayanga simamieni maamuzi yenu kama yapo kisheria hata mkiporwa alama 3 au kushushwa daraja msiogope hadi tujue ya nyuma ya pazia.