Rais Karia umetaka mwenyewe kuiona nguvu ya Yanga

Nguvu gani Bana upumbavu na utoto Tu...Nyie ni fungu la kukosa tu! Acheni uoga leteni Timu uwanjani kipigwe..Mtaruka ruka Sana na hamtashinda. Hata rekodi zenu huko CAS mnatambulika kama Timu ya hovyo hakuna atakaekuwa serious na madai yenu. Tena mtajibiwa fastaa na mtaufyata
 
Sawa mrembo
 
NYUMA MWIKO
MASIKINI ASIYE NA KIAPO
MTALETA TU TIMU UWANJANI
LA SIVYO MKACHEZE NA LEO TENA

NI LINI UTOPOLO AMEWAHI KUSHINDA KESI?...

Kila siku ni nyinyi na madeni FIFA kuwafungia..
 
Huyu msomali wa Kisimayu hatufai tifuatifua.
 
Wanaleta mambo yao ya ushabiki kwenye mambo ya msingi! Hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…