Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
- Thread starter
- #21
Hajitambui kwamba yeye ni rais wa nchi... anadhani yuko kijiweni.
Na hili linatokana na kuwa na washauri kama rweyemamu... rejea press release za ikulu zilivyojaa mipasho ya taarabu !
Siku hizi viongozi woote wa ccm hawawezi kujenga na kujibu hoja.... wamejikita zaidi kwenye mipasho na personal attacks; Ni aibu kwamba hata raisi amefikia huko. But it is not surprising... rejea hotuba yake miaka kadhaa iliyopita alivyomshambulia Mgaya wa TUCTA.
Umenena! Pamoja na kutumia lugha isiyostahiki kwa nafasi ya uzito wake kitaifa hali kadhalika mazingira na mazingara aliyotumia kutoa kauli hiyo si kosa kutafsirika kwamba alichomfanyia Tundu Lissu ni personal attacks. Kuna kitu ambacho kimemshinda ndicho uvumilivu, maneno huangamiza zaidi pengine kuliko silaha.