Rais kateleza kutumia lugha za vijiweni kutetea Katiba - Matamko Kurugenzi Ikulu yafanana


Umenena! Pamoja na kutumia lugha isiyostahiki kwa nafasi ya uzito wake kitaifa hali kadhalika mazingira na mazingara aliyotumia kutoa kauli hiyo si kosa kutafsirika kwamba alichomfanyia Tundu Lissu ni personal attacks. Kuna kitu ambacho kimemshinda ndicho uvumilivu, maneno huangamiza zaidi pengine kuliko silaha.
 
Jk ni rais wa kuambiwa
Muswada hajauona wala kuusoma
Hotuba kaandikiwa
JK anaendeshwa na waliomweka
Hana maamuzi binafsi kama rais
Tumsamehe bure.
 
Kunawatu kama chadema wanajifanya hii nchi ni yao ndiyo maana wanataka wao watukane wapigane na kuzua uongo halafu wasiambiwe baada ya jk kuwachana ukweli wao viroho vinawauma.

Kitu alichofanya jk ndicho kinachotakiwa kufanywa na viongozi wote kama ni mbea na mnafiki kama lisu ambiwe ukweli wake hakuna kumchekea ajue mapungufu yake.
 
JK kiatu cha uraisi kinampwaya vibaya sana
Mkuu hayo maumivu anayokupa jk hata kwa maji ya barafu hutayatoa pole bwana vumilia nani kama jk hapa tanzani hana akili kama za wale wazinzi.
 

Unakumbuka kipindi cha Kampeni uchaguzi Mkuu uliopita Kikwete alikimbia na kukataa kata kata kufanya debate na presidential candidates wenzake. Aliogopa udhaifu huu usijejulikana. Viongozi wa aina hii mara nyingi utaona wanakwepa sana maswali toka kwa waandishi na watu mbalimbali. Pia ikibidi wanaambiwa wapeleke maswali kabla wayaone na wakiona pagumu wanakwepa press conference kwa vile hawakosi visingizio.
 
Jk ni rais wa kuambiwa
Muswada hajauona wala kuusoma
Hotuba kaandikiwa
JK anaendeshwa na waliomweka
Hana maamuzi binafsi kama rais
Tumsamehe bure.
Wewe unaendeshwa na nani kwa tarifa yako jana kasaini mtapasuka mwaka huu,
hizi chuki zenu wala hazimstui wewe ungeuza kalanga na mwezako auze mandazi lakini jk siyo saizi yenu.
 
Jk ni rais wa kuambiwa
Muswada hajauona wala kuusoma
Hotuba kaandikiwa
JK anaendeshwa na waliomweka
Hana maamuzi binafsi kama rais
Tumsamehe bure.

Inawezekana hotuba ile aliandikwa na kurugenzi ya habari Ikulu, ndo maana lugha yake haitofautiani na ile mipasho inayotoka kwenye kurugenzi hiyo inapotoa matamko.
 
Kuna mambo mengine Marais wa Nchi huongea kwa kuwa wanajua hakuna mtu yoyote wa kuwafanya kitu chochote...

exactly ila nahisi anayafikiria baada ya kuonekana kuna uwongo ambao alidanganywa,makumbuka wakat anakabidh ambulence aliwai kumkemea mtu hadharan na baadae ikadhihirika,hao watu wake walijikanyaga,,,,,
 
Inawezekana hotuba ile aliandikwa na kurugenzi ya habari Ikulu, ndo maana lugha yake haitofautiani na ile mipasho inayotoka kwenye kurugenzi hiyo inapotoa matamko.

hata watangazaj makanjanja nao wapotumiwa msg na wasikilzaj,wakiona ina maneno makali huwa hawazisomi,sasa kwanini yeye hakuacha????
 
Mkuu utakuwa umevurugwa pakubwa kwa hapa tanzania hakuna kiongozi hata mmoja mwenye uwezo kama jk wa kuchambua mbaswala.

hizi data za kusema jk alikwepa mdahalo ni za uongo na unafiki kama wa lisu hakijawahi kutokea kitu kama hicho slaa mwenyewe akimuona jk nguo zinabana anatafuta pakutokea.
 
Hivi lugha za matusi na kupigana kunakofanywa na biongozi wa chadema unaweza kulinganisha na hotuba mwanana aliyotoa jk.
 

bora atukane wa chadema hakuna headlines kuliko akitukana rais,,,,kalaghabahooo
 

Watu wanaokuzunguka wakishajua wewe ni mtu wa aina gani, watajitahidi kufanya yale wanayofikiri utayafurahia hata kama wao binafsi wanajua sio sahihi ila kwa sababu tu wanakuelewa vizuri wanajitahidi kufanya kila jitihada kuhakikisha wanatekeleza kazi yao vizuri.

Huwezi mpelekea mkapa hayo maneno kwenye hotuba, utajiuliza mara mbilimbili, atayapokeaje?
 

ua right,,,ni kweli 2010 JK alishiriki mdahalo,,,,,,
haya kuna lingine?????
Maana unamtetea JK kama amekuahidi kukupa U-DC,
 

Mimi sikustuka maana ninafaham fika Taasisi ya Urais kwa Tanzania inaongozwa na mtu mwenye upeo wa kutatanisha kidogo, Mungu inusuru nchi yetu katika kipindi ambacho tunaongozwa na mteule wa Tume ya Taifa ya uchaguzi
 

Sioni sababu ya kuendelea kujadiliana nawe wakati unatetea kitu kilicho wazi ambacho Kikwete na CCM walikataa kata kata midahalo uchaguzi Mkuu uliopita, nadhani kwa kauli yako ni kundi moja na taswira za kikwete ndio maana huoni aibu kutamka kitu kisicho na ukweli.
 

Hotuba kaandikiwa, na mengine kaelexwa na kuambiwa na hiyo hiyo Kurugenzi. Full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…