TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kuna some incidences watoto hudondoka kutoka kwenye mizani ya clinic na kuanguka chini kwa kuanza na kichwa.....pale lazima cartiledge ya lugha kwenye ubongo i shake.....!!!!!
Wewe ulitaka mtu mnafiki amwambiaje zaidi ya kumwambia ukweli wake jk kafanya haki mnafikinlazima lazima ambiwe ukweli lisu kazidi unafiki na umbea.
"unafiki, fitina na uzandiki" ni lugha za mitaa gani? au kiswahili kinawasumbua? Hoja hapa ni huyu bwana Tundu Linsu ambaye ana sifa hizi mbaya sana! yahani ni mtu ambaye hatuwezi kumwani tena na hawezi kupewa mamlaka ya kuwa kiongozi katika nchi hii kwa sifa chafu kama hizo.
Hilo la kujichanganya imemtokea mara nyingi....
Kuna wakati alitoa tamko eti yale majengo ya Wakandarasi pale Jangwani yavunjwe ili kuwapa ruhusa vijana kufanya mazoezi nyakati za jioni...
Baadaye akaja kuambiwa wale ni Wakandarasi na wapo kwenye maandalizi ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi ya Kasi...
Imagine aibu kama hiyo mkuu!!!
Kweli katika hotuba ya rais hakuna mahali alipoonyesha wazi uongo wa Lisu juu ya kutoheshimiwa kwa maoni ya TEC, CCT, na wengine. Nilitegemea rais aseme hivi (ilikudhibitisha uongo wa Lisu), ...."TEC, CCT, n.k walipendekeza hivi na wakatoa majina haya..nami mimi kama rais kwa fursa niliyonayo ni chagua majina haya kutoka kwenye orodha zao..." hiki kitu hakikuonyeshwa na rais...katika maelezo yake. Labda kama kuna aliyekiona/ sikia katika hotuba yake anaijuze
To wind up, Kamati ilitengeneza orodha ya taasisi na watu binafsi wa Zanzibar ambao ilitaka kupata maoni yao. Hatukuonana na hata mmoja wa taasisi na watu binafsi hao kwa sababu Kamati haikuruhusiwa kwenda Zanzibar. Aidha, Kamati haikukutana na mwakilishi hata mmoja wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Pili, Wawakilishi wa TEC (Father Dr. Charles Kitima), CCT (Mchungaji Rohho) na wa SHIVYAWATA (nimemsahau jina) ndio walioiambia Kamati kwamba mapendekezo yao hayakuheshimiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Tume. Mimi sikuyatoa uchochoroni, yalisemwa hadharani mbele ya Kamati!
Hilo la kujichanganya imemtokea mara nyingi....
Kuna wakati alitoa tamko eti yale majengo ya Wakandarasi pale Jangwani yavunjwe ili kuwapa ruhusa vijana kufanya mazoezi nyakati za jioni...
Baadaye akaja kuambiwa wale ni Wakandarasi na wapo kwenye maandalizi ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi ya Kasi...
Imagine aibu kama hiyo mkuu!!!
Wewe unaendeshwa na nani kwa tarifa yako jana kasaini mtapasuka mwaka huu,
hizi chuki zenu wala hazimstui wewe ungeuza kalanga na mwezako auze mandazi lakini jk siyo saizi yenu.
sawa,ila mimi sijamtetea LISSU bali nimeshangazwa na style ya majibu na matumizi ya maneno mheshimiwa Rais aliyotumia.na hotuba nzuri ni inayotoka kichwani, mbona mnamtetea sana LISSU.
Umeeleweka kiongozi. Jk hajijui kama yeye ndo Mkuu.............ananjihisi hisi na kuwa na inferiority compl............
Kuhusu uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nilisema yafuatayo: "... Uteuzi wa Wajumbe wa Tume uliofanywa na Rais na ambao unatumiwa Kama mfano (wa kuteua Wajumbe 166 wa Bunge Maalum) wenyewe ulikuwa na walakini kubwa. Katika hili, kuna ushahidi wa Wawakilishi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) na asasi mbali mbali za kiraia zikiwemo za walemavu waliowasilisha maoni ya taasisi zao kwa Kamati juu ya Muswada huu. Wawakilishi hao waliiambia Kamati kwamba ijapokuwa waliandikiwa na Rais kuwasilisha majina ya Wajumbe wao kwa ajili ya kuteuliwa kwenye Tume, na walifanya hivyo, hakuna hata moja ya majina waliyopendekeza aliyeteuliwa na Rais kuwa Mjumbe wa Tume. Badala yake, Rais aliteua watu aliowaona yeye na washauri wake wanafaa. Kama taarifa za wadau hawa ni za kweli maana yake ni kwamba Rais na Mwenyekiti huyu wa CCM Taifa hawezi kuaminika tena kuteua Wajumbe halisi wa taasisi hizi katika Bunge Maalum...."Wewe ulitaka mtu mnafiki amwambiaje zaidi ya kumwambia ukweli wake jk kafanya haki mnafikinlazima lazima ambiwe ukweli lisu kazidi unafiki na umbea.