Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

sisi ndio wenye mahindi. we can force them
Sio kweli, watakimbiliaa Brazil, hukuona wakati ule wanazungumzia mahindi yetu Yana sumu Mara Yana bei kubwa Sana, haoo wakakimbilia kununua mahindi brazil
 
Wao wanataka mahindi siyo unga!
Ni kweli wao wanataka mahindi siyo unga Ili watengeneze kulingana na standard zao, unga upo pia japo bado standard za kwetu ni duni sana huwezi kusagia watu unga wa kupikia Kama vile unasagia wanyama yaani unga ni maparata matupu, ukiamua kuchekecha kwenye kilo tano unapata kilo moja na mengine ni maparata ya kuwapa wanyama.
 
Huu Sasa nj uongo, unga wa Kenya wanaosaga kula ugali hauna na wa huku Tz. Sizungumzij unga ule unaaouzwa supermarket kwa kuwa hata huku unga wa supermarket ni mzuri sana
 
Hili ni moja kati ya mambo niliyotaka yafanyiwe kazi, kumbe yale mahindi hayakuwa na sumu ni ulipaji kisasi tu cha kile Magufuli alichowafanyia wakenya kwa kuku wao, Samia kaenda kupata Suluhu.
Magufuli hakuwa mtu wa kawaida,hata wanaomshangilia hadi leo,yapaswa wakamatwe kinguvu wakapimwe akili
 
Mkuu hizi hoja unazileta leo 2021?, mwaka 1985 Mzee Mwinyi alipoapishwa kuwa rais wa pili ya Jamhuri ya Muungano ulikuwa wapi?.
 

Mkuu mbona unateseka sana?
Huu Muungano ni kwa faida ya CCM, kama mumeuchoka kinukisheni na kwa uhakika zenj nao watakinukisha kuiforce serekali iuvunje.
 
Ingawa si mwehu, ila ametia sana hasara, na kuaribu mahusiano, ona leo IMF awanatoa fedha kwa haraka wakati wa jiwe akiomba apati kitu.
Bunge lijadili tena umuhimu wake kwa uhuru si kujipendekeza kulikofanywa!
IMF wametoa hela lini hivi karibuni...hii nchi inaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kipindi kile mliasapoti sana etii oooh wale Wanahangaika tuu wanatutegemea sana Tanzania 🤣🤣🤣, Mamb ya economic hayahitaji nguvu kubwa.
 
ipo siku yatagaga watatuweka wazi hizi offer tunazo zipata kwa sabab zisizo eleweka

sisikii tz imetowa nin bali imepewa tu
Sisi hatujapewa kitu kiongozi bali mahindi yatauzwa Kenya kama kawaida hilo ni suala la kibiashara na sio kupeana
 
mada nzuri mkuu ungeandika uzi wake ingependeza zaidi mkuu, hapa tutachanganya
 
Limtu limegombanisha familia yake, likagombabisha hadi na majirani....

Shwain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…