Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Punguza upuuzi wako wewe mtoto wa mama.
Naandika hii post nipo Kenya na shughuli zangu nazifanyia hapa Kenya .

Huu ni mwaka wa 6 na shughuli zangu zinaenda bila tatizo lolote.
Punguzeni majungu ili mjitafutie ridhiki zenu.
 
UWOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO.
utajifungia kwenye BOKSI mpaka lini?!!

Ndugu zangu acheni uwoga wa kizamani, changamkieni fursa, punguzeni maneno maneno tufanye kazi kwa bidii, biashara sasa zipo wazi,.
Kenya fursa ya kupeleka na kuchukua biashara kuleta TZ zipo,lkn sio ajira
 
Hakuna cha roho mbaya bali ni uvivu wenu wabongo.
 
Ni kweli, lakini Elimu inakusaidia kuwa na wigo mpana , to think out of the box , kuwa creative pia unakua unajiamini na biashara yako kwq kuwa unaelewa protocols nzima za masoko na nini kufanya kusogea mbele kibiashara
Nakubaliana na wewe
 
Hakuna cha roho mbaya bali ni uvivu wenu wabongo.
Ina maana rostam alietaka kuwekeza kenya mpaka anazungushwa ni mvivu!hlf usikariri watz sio wavivu labda wewe peke yako,we r hard working hamna mfano ukanda huu na ndio kwenye halali na haramu tunaongoza kimapambano,mbongo kwenye fursa hajiweki nyuma hata,nenda migodini huko uone wake kwa waume wa kitanzania wanavyopambania,mashambani ndio usiseme,kabla ya corona ungejaribu siku 1 ukaone ile ethiopia airline wabongo wanavyojazana safari za ghuangzhou
 
Punguza upuuzi wako wewe mtoto wa mama.
Naandika hii post nipo Kenya na shughuli zangu nazifanyia hapa Kenya .

Huu ni mwaka wa 6 na shughuli zangu zinaenda bila tatizo lolote.
Punguzeni majungu ili mjitafutie ridhiki zenu.
Haya niambie Kenya sehemu gani mkuu? Au wewe ni Mkenya!! I have been there for years I know them very well!!
 
Biashara sawa lkn sio ajira,kenya ajira ngumu kwa mkenya mwenyewe ndio ije kuwa mtanzania!
Achana nao hao wengine kazi kulalamika tu

Kenya wamejivua lawama kuwa nsiseme ohh permit ngumu kupata ohh visa ngumu kupata .Haya njooni mfanye kazi au biashara zenu free bila kisingizio .

KENYATTA KAFANYA JAMBO KUBWA
 
Vile ninavyo ona ni wakati hizi nchi mbili zilipopata uhuru wale viongozi wa enzi hizo had different ideologies for their respective nation.

Thats the only thing that makes sense to me.
 
mkuu acha waje watuamshe , tumelala sana , sio kosa la jamii bali ni kosa la kisera zaidi ,
ndo sababu leo wenzetu ni ma giant wa viwanda wakati kipindi fulani huko nyuma tuliwahi kuwa sawa
leo hii mkuu wa wilaua anakwenda kuharibu shamba la maua la mkulima kwa sababu za kisiasa halafu kesho tunadhangaa kwa nini wakenya wanaexport maua kwa wingi kwenda nje, tumelogwa
 
Nyie enzi za mtu wenu mlikuwa mnafurahia kila ujinga aliokuwa anafanya

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Jiwe aliharibu kila sehemu na wafuasi wake kama wewe mkawa mnashangila kama vile makasuku tu.
Walishikilia wimbo wa kipumbavu walioutunga chato, eti wanyinge sijui nini na nini huko
 
Mtego huu...mama awe mwangalifu. Sio kirahisi rahisi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…