Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Bi mkubwa angetoa go ahead kama ya kenyata kesho tu border zote na kenya zingekua full,jamaa wanataka kuvukaYeah ndiyo kama nilivyomwelewesha mwamba pale juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi mkubwa angetoa go ahead kama ya kenyata kesho tu border zote na kenya zingekua full,jamaa wanataka kuvukaYeah ndiyo kama nilivyomwelewesha mwamba pale juu
Punguza upuuzi wako wewe mtoto wa mama.Wewe muuza madawa utamuota sana Jiwe mpaka uingie kaburini alivyokufanya hutamsahau. Lakini sahau kurudi kwenye biashara hiyo ya madawa. Kuhusu Kenya wewe akili kichwani huna. Unafikiri wewe utaweza kwenda kufanyakazi Kenya bila vikwazo nchi ya kibaguzi hivyo utakwenda kufanyakazi kwenye Kampuni ya Mkenya!! Labda iwe International Organization!! Wengine tumefanyakazi huko kwenye International Org. tunapajua vika jinsi walivyowabaguzi.
Kenya fursa ya kupeleka na kuchukua biashara kuleta TZ zipo,lkn sio ajiraUWOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO.
utajifungia kwenye BOKSI mpaka lini?!!
Ndugu zangu acheni uwoga wa kizamani, changamkieni fursa, punguzeni maneno maneno tufanye kazi kwa bidii, biashara sasa zipo wazi,.
Hakuna cha roho mbaya bali ni uvivu wenu wabongo.Roho mbaya yenu ndio inafanya kampuni za Tanzania ziwe chache,imagine mtu ana usd 130 mln anataka kuwekeza kwenu lakini hamtaki eti sababu tu ni Mtanzania,unadhani jamaa angecreate ajira ngapi kwa wakenya!rostam ana makampuni south africa,uk,dubai lkn kenya hapo pamekua pagumu!
Wanashida sana ya ajira wale nduguBi mkubwa angetoa go ahead kama ya kenyata kesho tu border zote na kenya zingekua full,jamaa wanataka kuvuka
Nakubaliana na weweNi kweli, lakini Elimu inakusaidia kuwa na wigo mpana , to think out of the box , kuwa creative pia unakua unajiamini na biashara yako kwq kuwa unaelewa protocols nzima za masoko na nini kufanya kusogea mbele kibiashara
Ina maana rostam alietaka kuwekeza kenya mpaka anazungushwa ni mvivu!hlf usikariri watz sio wavivu labda wewe peke yako,we r hard working hamna mfano ukanda huu na ndio kwenye halali na haramu tunaongoza kimapambano,mbongo kwenye fursa hajiweki nyuma hata,nenda migodini huko uone wake kwa waume wa kitanzania wanavyopambania,mashambani ndio usiseme,kabla ya corona ungejaribu siku 1 ukaone ile ethiopia airline wabongo wanavyojazana safari za ghuangzhouHakuna cha roho mbaya bali ni uvivu wenu wabongo.
Haya niambie Kenya sehemu gani mkuu? Au wewe ni Mkenya!! I have been there for years I know them very well!!Punguza upuuzi wako wewe mtoto wa mama.
Naandika hii post nipo Kenya na shughuli zangu nazifanyia hapa Kenya .
Huu ni mwaka wa 6 na shughuli zangu zinaenda bila tatizo lolote.
Punguzeni majungu ili mjitafutie ridhiki zenu.
Nipo west landHaya niambie Kenya sehemu gani mkuu? Au wewe ni Mkenya!! I have been there for years I know them very well!!
Achana nao hao wengine kazi kulalamika tu
Kenya wamejivua lawama kuwa nsiseme ohh permit ngumu kupata ohh visa ngumu kupata .Haya njooni mfanye kazi au biashara zenu free bila kisingizio .
KENYATTA KAFANYA JAMBO KUBWA
Vile ninavyo ona ni wakati hizi nchi mbili zilipopata uhuru wale viongozi wa enzi hizo had different ideologies for their respective nation.Watz wengi hawajawahi kufika hata hapo kenya, hawajui the impact itakayotokea once wakifanya wanachotaka kufanya. Wakenya wenzetu Sijui walimpa nini Mungu , wako very sharp kichwani, wana akili za kutisha na ni quick learner , mkenya unaweza kumuweka kwenye kazi ambayo hajasomea ukamtrain within a short period of time akawa maste kuliko hat waliosomea. Huyu Mama Sijui anatupeleka wapi , tufanye tu uchaguzi kwa kqeli tunahitaji kiongozi makini sana
Off course! Kila nchi ina taratibu zake na investments ina taratibu zakeHujamsikia kanuni na taratibu zizingatiwe lakini?
mkuu acha waje watuamshe , tumelala sana , sio kosa la jamii bali ni kosa la kisera zaidi ,Kenya ni Giants wa Viwanda na Biashara
kwnye ulimwengu wa boxing huwezi mchukua Heavy weight ukampambanisha na lightweight. lazma umlinde huyu dhaifu hadi atakapo komaa ndio uwapambanishe..
katika kujibu swali lako, sio kwakua tulikosea basi tuendelee kukosea. Wanachokitaka Kenya ni sisi kuwa soko kwao, sio ushindani, maana hatuna products za kuuza kwao.
Sipingi kwamba tusiwape free permit kama walivyoomba, ila kabla hatujawapa lazmma tuniandae na kutengeneza sera za kuwalinda wafanyabiashr, wafanyakzi na viwanda vyetu dhidi yao.
hilo tu
Nipo west land
Nyie enzi za mtu wenu mlikuwa mnafurahia kila ujinga aliokuwa anafanyaKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na work permit wala Business visa.
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara.
---
Tanzanian investors intending to set up businesses in Kenya will not be asked for visas or work permits, President Uhuru Kenyatta has announced.
This comes as the first step in the removal of non-tariff barriers between the two countries that were announced on Tuesday, May 4, 2021.
“Tanzanians are free to engage in business transactions without VISAs or work permits provided all laws of the land are adhered to,” said President Kenyatta.
“The East African Community has opened our borders and have unlocked opportunities for the free movement of goods, services and products. Trade within our countries has thrived but we must accept it is yet to reach the level we expect.”
President Kenyatta who spoke during a business forum attended by Kenyan and Tanzanian businessmen and women commissioned the Kenyan Ministry of Trade to ensure that all agreements signed between the two nations worked.
“The prosperity for our two countries hinges on creating a conducive business environment and growing mutually beneficial trade. Kenya and Tanzania enjoy cordial relations going back to our pre-independence days,” said Kenyatta.
President Kenyatta also ordered the release of maize held at the Tanzania border within two weeks and the harmonization of Covid-19 testing to reduce congestion.
On the other hand, visiting President of Tanzania Samia Suluhu urged Tanzanian investors to leverage on the technological advancements in Kenya.
“There is an opportunity for Tanzania to leverage on Kenya’s technology. I urge Kenyan and Tanzanian investors to establish partnerships. Real development is realised when we develop together. The private sector is key in driving economic growth,” added Suluhu.
“Tanzania is highly committed to seeing a vibrant private sector capable of facing the challenges of the global economy through our industrialization drive.”
Source: Tanzanians Free To Do Business In Kenya Without Work Permits, Visas – President Uhuru Kenyatta
Hotuba yake hii hapa
Unawaogopa wakenya?Mtego huu, anataka na Samia aseme hivyohivyo kwa wakenya
Walishikilia wimbo wa kipumbavu walioutunga chato, eti wanyinge sijui nini na nini hukoJiwe aliharibu kila sehemu na wafuasi wake kama wewe mkawa mnashangila kama vile makasuku tu.
Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na work permit wala Business visa.