Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

ATCL haijakataliwa...ni kwamba haijaomba kibali
 
tutaenzi kufundisha watu wetu kufanya kazi kwa bidii, tuanze kufundisha skills kwa watu wetu, tuanze kuwapa watu wetu elimu bora halafu ndio tuingie kwenye mashindano ya namna hii otherwise watu wetu watakauwa wanafanya kazi za chini sana....
 
Kwanini wawin na sisi tushindwe?
wao tayari wana backup ya serikali yao..
yaani wafanya biashra wakikenya, serikali ipo nyuma yao kuwasapot kwa kila jambo tofauti na sisi, serikali hututelekeza kama yatima..

ukiwa tanzania, km chache kabla hujafika mpakani mwa tanzania na kenya, tayr unapokea text upo kenya, wakt vice versa haipo hivyo.

tuna bank gani kwao? wao wanazo huku kwetu wakishindana na hizi zetu. Uhur au mzalendo lipo kenya kama citizen la kwao huku?

sikatai ushindani kwamba waje, ila na sisi intellijensi yetu ijipange kuwasapot wafanya biashar watanzania kwanza, kabla ya kufungua hizo permit
 
Hii lugha ya "tunaandaa watu wetu kwanza" imekua inazungumzwa tangia utawala wa mwinyi! Over 30 years tumekua "tunajiandaa". There comes a time lazma ujitose kwenye maji marefu ili uogelee.

Binafsi naamini we are ready..ni victim mentality tu na hofu ndio imetujaa. Wakenya are humans just like us..sio wakutubabaisha...mipaka ifunguliwe na tuicheze ngoma.
 
Dah....

Inafikirisha na kusikitisha sana...
 
Watanzania kenya wako wengi sana asilimia kubwa ya house girls wanatoka Tanzania

Soko la umachinga na kuuza mitumba wamejaa watanzania

Matajiri wengi kenya wa magari wanawahitaji sana madereva wa Tanzania kuna wakati madereva wa kenya walifanya fujo kugomea kazi zao kuchukuliwa na madereva wa Tanzania
 
Dah....

Inafikirisha na kusikitisha sana...
 
Usisahau omba omba na madada poa pia.
 
Tupeleke Coaster zetu na Noah kibao tukazipaki nje ya kila airport, vituo vyao vya treni, mabasi na kila hotel. Watalii wakifikia tu pale tunawasomba na kuwavusha kuja kutembelea vivutio vyetu na kulala kwenye hoteli zetu....nadhani kuunda umoja wa wafanyabiashara wa usafirishaji wa watalii kutoka kenya kuja huku tena kwa bei ndogo zaidi ya huduma hiyo hiyo kwa upande wa Kenya inawezekena.

Tupeleke magari yetu wazi yenye vikundi vya ngoma wanenguaji wakicheza singeli na wanasarakasi kuzunguka mitaa ya nairobi yakiimba nyimbo za kutangaza vivutio vyetu, full mapicha kila mahali. Open spaces zao tupeleke vikundi vya ngoma na wanasarakasi kujitangaza kila jumamosi kuwa kila kilicho bora Africa Mashariki kipo Tz. Ikiwezekana kina Diamond na Harmonize wawe wanapelekwa kufanya show bure na wizara husika na wasindikizwe na wauza asali wa tz, wauza jam wa tz, wapaka ina...yaani mpaka watuelewe...

Usiku night club zao tujiwakilishe na vikundi vya matarumbeta na baikoko wajionee mambo ya kitamaduni ya huku watamani kuja uswazi wajionee wenyewe...
 
ni kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..
mimi sioni tatizo waje tu

Ajira sasa hivi hazipo nyingi wataziongeza na hata wakiajiriana wenyewe hakuna shida tutapata kodi zao na mishahara yao watatumia humu humu nchini kununua bidhaa ,vyakula nk
 
Bora Uhuru ni binadamu sn na kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea Africa, shida walishindwa na Dikteta, mama kaona atakuwa Mwalimu mzuri sn
Hamia Kenya ndugu ukajionee mwenyewe utu wa Kenyatta
 
ahsante Rais wangu kwa kufufua ushirikiano, sasa naandaa magunia yangu ya njugu mawe napeleka kenya kuuza.
Ahsante mama Samia.
CRDB ina nini kwani?
 
nenda na wewe ukawe house girl. simbilisi we.
 
Nakumbuka hotuba ya hiyo aliwahi kuitoa siku za nyuma MUTATIS MUTANDIS
 
Koloni lenu kivipi wakati wawekezaji wa kenya wanarudisha usd billioni moja na nyinyi mwarudisha usd millioni 50?

Lol

Koloni lenu kivipi wakati wawekezaji wa kenya wanarudisha usd billioni moja na nyinyi mwarudisha usd millioni 50?

Lol
Umesikia vituko vya mbowe lakini

"Sijawahi kuomba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa mtu yeyote, commitment yangu kwa chama ndio inanibeba"​

 
You scratch my back, I scratch yours, that's how it works Sir!

Ila bora wakenya waje wafanye biashara itakuza uchumi wetu na kutoa ajira kwa vijana wetu.

Kwanza itatuchangamsha, tumelala na kujisahau sana.
Kutoka Angle hiyo nakubaliana nawe Mkuu
 
Dah....

Inafikirisha na kusikitisha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…