Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Hakuna mtego wowote hapo, na Rais Samia hana sababu ya kuruhusu wakenya Tanzania kwa sababu mbili ingawa ziko nyingi zaidi. Bidhaa za Kenya ni nyingi kwetu kuliko zetu kwao.

Pili Shirika la ndege la Kenya ndilo pekee linatoa huduma Kati ya Dar na Nairobi, Air Tanzania haijawa na ruhusa hiyo.

Makampuni ya Tanzania kuorodheshwa kwenye soko la Nairobi NSE masharti ni magumu ukilinganisha na Makampuni ya Kenya kwenye soko letu DSE. Mambo ni mengi yanayotakiwa kunyooshwa. Ila kwenye makubaliano yoyote na wakenya tunatakiwa kuangalia kila neno kea herufi na alama zinazotumika.
ATCL haijakataliwa...ni kwamba haijaomba kibali
 
tutaenzi kufundisha watu wetu kufanya kazi kwa bidii, tuanze kufundisha skills kwa watu wetu, tuanze kuwapa watu wetu elimu bora halafu ndio tuingie kwenye mashindano ya namna hii otherwise watu wetu watakauwa wanafanya kazi za chini sana....
 
Kwanini wawin na sisi tushindwe?
wao tayari wana backup ya serikali yao..
yaani wafanya biashra wakikenya, serikali ipo nyuma yao kuwasapot kwa kila jambo tofauti na sisi, serikali hututelekeza kama yatima..

ukiwa tanzania, km chache kabla hujafika mpakani mwa tanzania na kenya, tayr unapokea text upo kenya, wakt vice versa haipo hivyo.

tuna bank gani kwao? wao wanazo huku kwetu wakishindana na hizi zetu. Uhur au mzalendo lipo kenya kama citizen la kwao huku?

sikatai ushindani kwamba waje, ila na sisi intellijensi yetu ijipange kuwasapot wafanya biashar watanzania kwanza, kabla ya kufungua hizo permit
 
tuanze kuwaandaa watu wetu kuwa washindani kwanza ndio tuingie kwenye contract za namna hii otherwise tutakuwa tumejipiga kitanzi...

tukitegemea wao waje ndio watu wetu wacatch up, tumeliwa jamaa yangu, kifupi watu wetu watakuwa utumwani kwa miaka mingi na kujinasua itakuwa ni machafuko labda...the more you advance the more they will advance..
Hii lugha ya "tunaandaa watu wetu kwanza" imekua inazungumzwa tangia utawala wa mwinyi! Over 30 years tumekua "tunajiandaa". There comes a time lazma ujitose kwenye maji marefu ili uogelee.

Binafsi naamini we are ready..ni victim mentality tu na hofu ndio imetujaa. Wakenya are humans just like us..sio wakutubabaisha...mipaka ifunguliwe na tuicheze ngoma.
 
wao tayari wana backup ya serikali yao..
yaani wafanya biashra wakikenya, serikali ipo nyuma yao kuwasapot kwa kila jambo tofauti na sisi, serikali hututelekeza kama yatima..

ukiwa tanzania, km chache kabla hujafika mpakani mwa tanzania na kenya, tayr unapokea text upo kenya, wakt vice versa haipo hivyo.

tuna bank gani kwao? wao wanazo huku kwetu wakishindana na hizi zetu. Uhur au mzalendo lipo kenya kama citizen la kwao huku?

sikatai ushindani kwamba waje, ila na sisi intellijensi yetu ijipange kuwasapot wafanya biashar watanzania kwanza, kabla ya kufungua hizo permit
Dah....

Inafikirisha na kusikitisha sana...
 
kenyatta anajua ni watz wachache mno wanaenda kufanya kazi kule, wakafanye kazi gani? kwa maisha haya ya hapa tena uende kufanya kazi kenya? hata wao wanakuja hapa kufundisha kiingereza na biashara labda. hata sisi tufanye hivyo, though visa iwe lazima.
Watanzania kenya wako wengi sana asilimia kubwa ya house girls wanatoka Tanzania

Soko la umachinga na kuuza mitumba wamejaa watanzania

Matajiri wengi kenya wa magari wanawahitaji sana madereva wa Tanzania kuna wakati madereva wa kenya walifanya fujo kugomea kazi zao kuchukuliwa na madereva wa Tanzania
 
wao tayari wana backup ya serikali yao..
yaani wafanya biashra wakikenya, serikali ipo nyuma yao kuwasapot kwa kila jambo tofauti na sisi, serikali hututelekeza kama yatima..

ukiwa tanzania, km chache kabla hujafika mpakani mwa tanzania na kenya, tayr unapokea text upo kenya, wakt vice versa haipo hivyo.

tuna bank gani kwao? wao wanazo huku kwetu wakishindana na hizi zetu. Uhur au mzalendo lipo kenya kama citizen la kwao huku?

sikatai ushindani kwamba waje, ila na sisi intellijensi yetu ijipange kuwasapot wafanya biashar watanzania kwanza, kabla ya kufungua hizo permit
Dah....

Inafikirisha na kusikitisha sana...
 
Watanzania kenya wako wengi sana asilimia kubwa ya house girls wanatoka Tanzania

Soko la umachinga na kuuza mitumba wamejaa watanzania

Matajiri wengi kenya wa magari wanawahitaji sana madereva wa Tanzania kuna wakati madereva wa kenya walifanya fujo kugomea kazi zao kuchukuliwa na madereva wa Tanzania
Usisahau omba omba na madada poa pia.
 
Tupeleke Coaster zetu na Noah kibao tukazipaki nje ya kila airport, vituo vyao vya treni, mabasi na kila hotel. Watalii wakifikia tu pale tunawasomba na kuwavusha kuja kutembelea vivutio vyetu na kulala kwenye hoteli zetu....nadhani kuunda umoja wa wafanyabiashara wa usafirishaji wa watalii kutoka kenya kuja huku tena kwa bei ndogo zaidi ya huduma hiyo hiyo kwa upande wa Kenya inawezekena.

Tupeleke magari yetu wazi yenye vikundi vya ngoma wanenguaji wakicheza singeli na wanasarakasi kuzunguka mitaa ya nairobi yakiimba nyimbo za kutangaza vivutio vyetu, full mapicha kila mahali. Open spaces zao tupeleke vikundi vya ngoma na wanasarakasi kujitangaza kila jumamosi kuwa kila kilicho bora Africa Mashariki kipo Tz. Ikiwezekana kina Diamond na Harmonize wawe wanapelekwa kufanya show bure na wizara husika na wasindikizwe na wauza asali wa tz, wauza jam wa tz, wapaka ina...yaani mpaka watuelewe...

Usiku night club zao tujiwakilishe na vikundi vya matarumbeta na baikoko wajionee mambo ya kitamaduni ya huku watamani kuja uswazi wajionee wenyewe...
 
ni kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..
mimi sioni tatizo waje tu

Ajira sasa hivi hazipo nyingi wataziongeza na hata wakiajiriana wenyewe hakuna shida tutapata kodi zao na mishahara yao watatumia humu humu nchini kununua bidhaa ,vyakula nk
 
ahsante Rais wangu kwa kufufua ushirikiano, sasa naandaa magunia yangu ya njugu mawe napeleka kenya kuuza.
Ahsante mama Samia.
It is sir. And i think we both told the same thing, look kufiri nje ya box ni kule kule tu kuwa na high intelligence. So the question comes kufikiri nje ya box kwa jicho gani ? Kenyans think out of box on wining us

Hii taasis ya Equity na KCB si ni za Kenya ? Surprisingly wataka occupy hizi huduma za kibank nchini. Siunaiona CRDB Sasa ?
CRDB ina nini kwani?
 
Watanzania kenya wako wengi sana asilimia kubwa ya house girls wanatoka Tanzania

Soko la umachinga na kuuza mitumba wamejaa watanzania

Matajiri wengi kenya wa magari wanawahitaji sana madereva wa Tanzania kuna wakati madereva wa kenya walifanya fujo kugomea kazi zao kuchukuliwa na madereva wa Tanzania
nenda na wewe ukawe house girl. simbilisi we.
 
Nakumbuka hotuba ya hiyo aliwahi kuitoa siku za nyuma MUTATIS MUTANDIS
 
Koloni lenu kivipi wakati wawekezaji wa kenya wanarudisha usd billioni moja na nyinyi mwarudisha usd millioni 50?

Lol

Umesikia vituko vya mbowe lakini

"Sijawahi kuomba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa mtu yeyote, commitment yangu kwa chama ndio inanibeba"​

You scratch my back, I scratch yours, that's how it works Sir!

Ila bora wakenya waje wafanye biashara itakuza uchumi wetu na kutoa ajira kwa vijana wetu.

Kwanza itatuchangamsha, tumelala na kujisahau sana.
Kutoka Angle hiyo nakubaliana nawe Mkuu
 
Back
Top Bottom