pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nieleze ni shule gani hiyo huku Kenya ambayo wanafunzi hawali chakula shuleni? Kenya wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa saba. Hiyo ni kupoteza muda bure. Muda ambao wangekuwa wanautumia kwa mambo ya manufaa kwao. Huna hoja ni ushamba tu.Badala ya kuwapa pads wapatieni chakula wale washibe. Hizo pads zina mbadala wake wanaweza wakatumia vitambaa. Lakini njaa haina baunsa.
Nieleze ni shule gani hiyo huku Kenya ambayo wanafunzi hawali chakula shuleni? Kenya wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa saba. Hiyo ni kupoteza muda bure. Muda ambao wangekuwa wanautumia kwa mambo ya manufaa kwao. Huna hoja ni ushamba tu.
Acha uongo unadhani sisi hatuijui Kenya siyo?Acha utoto. School Feeding Programme Kenya ilianzishwa miaka ile rais mstaafu Daniel Arap Moi akiwa madarakani. Yaani wewe unategemea eti kila kitu kinaanza awamu hii ya utawala wa rais Uhuru? Hatujakuwa usingizini.
Just google. I won't bother.Acha uongo unadhani sisi hatuijui Kenya siyo?
Kwani documentantion zinafutika?, hata document za siku ya indepence ya Kenya zinapatikana, tafadhali nipe link inayoonyesha Kenya ilipitisha sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, ninazungumzia sheria iliyosainiwa na rais kama hii ya pedi iliyosainiwa, sio hivyo program za barabarani ambazo hazijapitishwa na bunge kwa hiyo hazipati bajeti ya serikali, na nyingi zinakufa ndani ya muda mfupi kama hazimo ndani ya bajeti ya serikali.Acha utoto. School Feeding Programme Kenya ilianzishwa miaka ile rais mstaafu Daniel Arap Moi akiwa madarakani. Yaani wewe unategemea eti kila kitu kinaanza awamu hii ya utawala wa rais Uhuru? Hatujakuwa usingizini.
Kwa hivyo hao watoto ndio wapo lunchtime hapo kwenye picha? School Feeding Programme ilianzishwa huko huko arid and semi arid areas za Kenya. Wazo lilikuwa ni kila mwanafunzi apate mlo shuleni incase kama kwao nyumbani harsh terrain ya maeneo hayo inadhuru nutrition yao. Bado inaendelea hadi sasa. Maeneo kama hayo malalamishi huwa kwa miundo mbinu lakini sio lishe.
- Kotuga Primary school in Suna West Migori County
- Lelen Primary School
- Tiaty Constituency, Baringo County
Hahahaha!! Wewe weka hapa mambo wazi tuoni.Just google. I won't bother.
Eti wanapewa pedi lakini sio chakula. Hata wale ambao anasomea chini ya miti wanapata angalau one meal per day.Kwani documentantion zinafutika?, hata document za siku ya indepence ya Kenya zinapatikana, tafadhali nipe link inayoonyesha Kenya ilipitisha sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, ninazungumzia sheria iliyosainiwa na rais kama hii ya pedi iliyosainiwa, sio hivyo program za barabarani ambazo hazijapitishwa na bunge kwa hiyo hazipati bajeti ya serikali, na nyingi zinakufa ndani ya muda mfupi kama hazimo ndani ya bajeti ya serikali.
Hapa tunaongea kuhusu pedi. Wewe uliekuja na hojaless yako ya mlo ufanye risechi yako. Sio kuongea tu bila brakes.Hahahaha!! Wewe weka hapa mambo wazi tuoni.
Kwa hivyo hao watoto ndio wapo lunchtime hapo kwenye picha? School Feeding Programme ilianzishwa huko huko arid and semi arid areas za Kenya. Wazo lilikuwa ni kila mwanafunzi apate mlo shuleni incase kama kwao nyumbani harsh terrain ya maeneo hayo inadhuru nutrition yao. Bado inaendelea hadi sasa. Maeneo kama hayo malalamishi huwa kwa miundo mbinu lakini sio lishe.
Food vs Pads kipi cha kuanza?Hapa tunaongea kuhusu pedi. Wewe uliekuja na hojaless yako ya mlo ufanye risechi yako. Sio kuongea tu bila brakes.
Please punguza maneno tunaomba link inayoonyesha Kenya ilipishia sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, mbona ni rahisi sana?. Tunaijua Kenya na wakenya mlivyo kuliko mnavyodhania, ninyi ni watu wazushi, mnaopenda kujisifu wakati kiwango cha information mlizonazo ni kidogo sana, hata kuhusu nchi yenu, matokeo yake mnapenda kusema uongo ili kuridhisha ego zenu.Eti wanapewa pedi lakini sio chakula. Hata wale ambao anasomea chini ya miti wanapata angalau one meal per day.
Chakula wanapata wote. Free Primary and Secondary education ilishatimia. Viwango vya Elimu Kenya ukijaribu kuvilinganisha na vya Tanzania aisee itakuwa ulimbukeni. Endeleeni kufukuzana na wazazi wa wanafunzi wenye mimba. πππFood vs Pads kipi cha kuanza?
Ngoja. :::Please punguza maneno tunaomba link inayoonyesha Kenya ilipishia sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, mbona ni rahisi sana?. Tunaijua Kenya na wakenya mlivyo kuliko mnavyodhania, ninyi ni watu wazushi, mnaopenda kujisifu wakati kiwango cha information mlizonazo ni kidogo sana, hata kuhusu nchi yenu, matokeo yake mnapenda kusema uongo ili kuridhisha ego zenu.
Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, hakuna hata nchi moja yenye sheria na ambayo ina
Wewe jamaa hujui hata dunia inaendaje. Hizo program unazozisema ni kutoka World Food Programme (WFP). Na hizo prohram zilianzishwa kwenye nchi zote zenye matatizo ya chakula zikiwamo Kenya, Mali, S Sudan, Liberia nk. Na huo mradi umesitishwa tangu mwaka jana na WFP. Tafuta taarifa ndugu yanguChakula wanapata wote. Free Primary and Secondary education ilishatimia. Viwango vya Elimu Kenya ukijaribu kuvilinganisha na vya Tanzania aisee itakuwa ulimbukeni. Endeleeni kufukuzana na wazazi wa wanafunzi wenye mimba. πππ
Siyo bure wewe kima, wenzako wanapiga mahesabu ya mbali, yaani wanasema bure then kampuni ya usambazaji itakuwa ya Kenyatta, hapo watapiga hela ndefu kuliko maelezoRais Uhuru Kenyatta amesaini muswada ambao sasa utakuwa sheria kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike nchini humo.
Hapa kwetu ushauri kama huu ulipoletwa bungeni na Mh. Upendo, jamaa wale waliukunjakunja na kuutupilia mbali.
Hivi sisi tunatatizo gani ktk kupanga masuala yanayohusu ustawi wa watu wetu?...