Rais Kenyatta asaini muswada unaotaka Serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike

Badala ya kuwapa pads wapatieni chakula wale washibe. Hizo pads zina mbadala wake wanaweza wakatumia vitambaa. Lakini njaa haina baunsa.
Nieleze ni shule gani hiyo huku Kenya ambayo wanafunzi hawali chakula shuleni? Kenya wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa saba. Hiyo ni kupoteza muda bure. Muda ambao wangekuwa wanautumia kwa mambo ya manufaa kwao. Huna hoja ni ushamba tu.
 
  1. Kotuga Primary school in Suna West Migori County
  2. Lelen Primary School
    13_2.jpg
  3. Tiaty Constituency, Baringo County
otsobcv3nolazyb59d3daa0c59b2.jpg
 
Acha utoto. School Feeding Programme Kenya ilianzishwa miaka ile rais mstaafu Daniel Arap Moi akiwa madarakani. Yaani wewe unategemea eti kila kitu kinaanza awamu hii ya utawala wa rais Uhuru? Hatujakuwa usingizini.
Acha uongo unadhani sisi hatuijui Kenya siyo?
 
Acha utoto. School Feeding Programme Kenya ilianzishwa miaka ile rais mstaafu Daniel Arap Moi akiwa madarakani. Yaani wewe unategemea eti kila kitu kinaanza awamu hii ya utawala wa rais Uhuru? Hatujakuwa usingizini.
Kwani documentantion zinafutika?, hata document za siku ya indepence ya Kenya zinapatikana, tafadhali nipe link inayoonyesha Kenya ilipitisha sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, ninazungumzia sheria iliyosainiwa na rais kama hii ya pedi iliyosainiwa, sio hivyo program za barabarani ambazo hazijapitishwa na bunge kwa hiyo hazipati bajeti ya serikali, na nyingi zinakufa ndani ya muda mfupi kama hazimo ndani ya bajeti ya serikali.
 
  1. Kotuga Primary school in Suna West Migori County
  2. Lelen Primary School
    13_2.jpg
  3. Tiaty Constituency, Baringo County
otsobcv3nolazyb59d3daa0c59b2.jpg
Kwa hivyo hao watoto ndio wapo lunchtime hapo kwenye picha? School Feeding Programme ilianzishwa huko huko arid and semi arid areas za Kenya. Wazo lilikuwa ni kila mwanafunzi apate mlo shuleni incase kama kwao nyumbani harsh terrain ya maeneo hayo inadhuru nutrition yao. Bado inaendelea hadi sasa. Maeneo kama hayo malalamishi huwa kwa miundo mbinu lakini sio lishe.
 
Kwani documentantion zinafutika?, hata document za siku ya indepence ya Kenya zinapatikana, tafadhali nipe link inayoonyesha Kenya ilipitisha sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, ninazungumzia sheria iliyosainiwa na rais kama hii ya pedi iliyosainiwa, sio hivyo program za barabarani ambazo hazijapitishwa na bunge kwa hiyo hazipati bajeti ya serikali, na nyingi zinakufa ndani ya muda mfupi kama hazimo ndani ya bajeti ya serikali.
Eti wanapewa pedi lakini sio chakula. Hata wale ambao anasomea chini ya miti wanapata angalau one meal per day.
 
Kwa hivyo hao watoto ndio wapo lunchtime hapo kwenye picha? School Feeding Programme ilianzishwa huko huko arid and semi arid areas za Kenya. Wazo lilikuwa ni kila mwanafunzi apate mlo shuleni incase kama kwao nyumbani harsh terrain ya maeneo hayo inadhuru nutrition yao. Bado inaendelea hadi sasa. Maeneo kama hayo malalamishi huwa kwa miundo mbinu lakini sio lishe.

So which is which. Umeniambia nikuoatia shule ambazo hakuna chakula shuleni nimekuwekea umeanza kukenua kenua meno. Ni kweli watoto wa kike wanahita pads lakini siyo kipaumbele katika familia.

Sasa nauliza mtakuwa mnapeleka pads kila mwezi au kila siku. Na hizo pads ni za kiasi gani?

Nakuhakikishia huo ni mradi wa GOK kupiga pesa mingi kubwa kubwa.
 
Eti wanapewa pedi lakini sio chakula. Hata wale ambao anasomea chini ya miti wanapata angalau one meal per day.
Please punguza maneno tunaomba link inayoonyesha Kenya ilipishia sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, mbona ni rahisi sana?. Tunaijua Kenya na wakenya mlivyo kuliko mnavyodhania, ninyi ni watu wazushi, mnaopenda kujisifu wakati kiwango cha information mlizonazo ni kidogo sana, hata kuhusu nchi yenu, matokeo yake mnapenda kusema uongo ili kuridhisha ego zenu.

Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, hakuna hata nchi moja yenye sheria na ambayo inatoa chakula bure katika shule za msingi, japo kuna programmes nyingi za kutoa chakula katika nchi hizi, ambazo mara nyingi zinadhaminiwa na FAO, UNICEF, na Cocacola zikilenga baadhi ya maeneo kutokana na mahitaji ya maeneo hayo.
 
Food vs Pads kipi cha kuanza?
Chakula wanapata wote. Free Primary and Secondary education ilishatimia. Viwango vya Elimu Kenya ukijaribu kuvilinganisha na vya Tanzania aisee itakuwa ulimbukeni. Endeleeni kufukuzana na wazazi wa wanafunzi wenye mimba. 😀😀😀
 
Please punguza maneno tunaomba link inayoonyesha Kenya ilipishia sheria ya kutoa chakula bure mashuleni, mbona ni rahisi sana?. Tunaijua Kenya na wakenya mlivyo kuliko mnavyodhania, ninyi ni watu wazushi, mnaopenda kujisifu wakati kiwango cha information mlizonazo ni kidogo sana, hata kuhusu nchi yenu, matokeo yake mnapenda kusema uongo ili kuridhisha ego zenu.

Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, hakuna hata nchi moja yenye sheria na ambayo ina
Ngoja. :::
 
Anyway labda kuna jambo muhimu limeonekana kuwa pedi ni sharti iwe bure ili elimu iende
 
Chakula wanapata wote. Free Primary and Secondary education ilishatimia. Viwango vya Elimu Kenya ukijaribu kuvilinganisha na vya Tanzania aisee itakuwa ulimbukeni. Endeleeni kufukuzana na wazazi wa wanafunzi wenye mimba. 😀😀😀
Wewe jamaa hujui hata dunia inaendaje. Hizo program unazozisema ni kutoka World Food Programme (WFP). Na hizo prohram zilianzishwa kwenye nchi zote zenye matatizo ya chakula zikiwamo Kenya, Mali, S Sudan, Liberia nk. Na huo mradi umesitishwa tangu mwaka jana na WFP. Tafuta taarifa ndugu yangu

upload_2018-4-12_12-34-0.png

WFP to stop feeding Kenyan school children
 
Annael/Joto la jiwe: Kenya school feeding programme imekuwepo tangu enzi za rais Moi nolipokuwa shule mimi.
Na sio lazima iandikwe kwa sheria ili ukubali ipo ama itekelezwe. Pia inalingana na eneo au jamii inayolengwa kunufaisha watoto kukaa shule ili wasiache masomo kwa sababu za kuhama hama,tamaduni au majanga
 
Rais Uhuru Kenyatta amesaini muswada ambao sasa utakuwa sheria kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike nchini humo.
Hapa kwetu ushauri kama huu ulipoletwa bungeni na Mh. Upendo, jamaa wale waliukunjakunja na kuutupilia mbali.
Hivi sisi tunatatizo gani ktk kupanga masuala yanayohusu ustawi wa watu wetu?...
Siyo bure wewe kima, wenzako wanapiga mahesabu ya mbali, yaani wanasema bure then kampuni ya usambazaji itakuwa ya Kenyatta, hapo watapiga hela ndefu kuliko maelezo
 
Back
Top Bottom