Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

Sasa hiyo 'curfew' na lockdown ilikuwa na kazi gani? sometimes sisi binadamu tunakuwa kama wajinga vilee..haina maana kutesa watu bure sasa hivi watu wanarudi kuchangamana kama kawa,hata kama hakuambukizwa kipindi cha 'curfew', ataambukizwa sasa.

Mnyonge mnyongeni lakini Magufuli ni genious.
Usipokuwa mwelewa utaongea tu kila kitu. Ugonjwa usiojulikana vizuri ukiingia mahali kama watu wapo siriazi lazima uchukue tahadhari zote. Kenya walikuwa sahihi sana na sio kuweka watu rehani kama alivyofanya magu. Sasa baada ya ugonjwa kuanza kueleweka namna zake ndio hata mataifa makubwa yanafungua. Mnadanganyika kirahisi sana Watanzania.
 
Hii ni sehemu ya hotuba ya Rais wa Uhuru Kenyatta mapema leo kwa wananchi wa kenya dhidi ya covid-19.
...
Aidha, rais amesema kuwa taifa hilo haliwezi kuendelea kuchukua hatua za kusalia ndani milele.

''Sisi kama serikali, kama serikali zingine, mataifa yote dunia zimeanza kuona, hatuwezi kuendelea kusema wakenya tukae nyumbani, hatuwezi kuendelea kusema tu wakenya msiende kufanya biashara, musiende makazi, namna hio."

Aliendelea kusema "lakini, ile kitu ambayo itatusaidia pia kwa kikamilifu kuhakikisha ya kwamba tumeweza tena kufungua uchumi wetu na wananchi waweze kuendelea na maisha yao ya kawaida."

"Nimewaambia wenzangu, hii haitakuwa kwa sababu ya yale serikali itatenda, itakuwa kwa sababu ya yale kila mmoja wetu kwa kibinafsi atafanya''.
...

Nadhani kuna haja ya kumwambia bila haibu as "Mheshimiwa rais Magufuri wewe uliona mbali yapasa tujifunze kutoka kwako".

Ila wanaona haibu kumtaja.

NOTE:
Mwingine naye huko ughaibuni comrade Trump ameruhusu nyumba zote za ibada zifunguliwe na watu wamuombe Mungu na sehemu zote za ibada kuwa sehemu maalum.
Magu alitutia rehani kwa kufanya maamuzi ya kutochukua hatua kali kwa ugonjwa usiojulikana vizuri. Wenzetu walioendelea walichukua hatua sio kwamba walikuwa wajinga au waoga bali wako makini na sasa baada ya kuujua ugonjwa na athari zake ndio wameanza kufungua. Huwezi kusema magu alijua nini kitatokea hata yeye mwanzoni alinyong'onyea sana na sasa ndio amepata ahueni baada ya kuona mataifa makubwa yakizungumza kufungua. Vinginevyo alifanya vibaya mno kudharau ugonjwa asioujua vizuri.

Trump anaruhusu nyumba za ibada sio kwamba ni muumini yule ni atheist na fedhuli mkubwa, ila anafanya kwasababu za kisiasa.
 
Usipokuwa mwelewa utaongea tu kila kitu. Ugonjwa usiojulikana vizuri ukiingia mahali kama watu wapo siriazi lazima uchukue tahadhari zote. Kenya walikuwa sahihi sana na sio kuweka watu rehani kama alivyofanya magu. Sasa baada ya ugonjwa kuanza kueleweka namna zake ndio hata mataifa makubwa yanafungua. Mnadanganyika kirahisi sana watanzania.
Tahadhari zote zimechukuliwa isipokuwa lockdown na hiyo curfew. Vitu ambavyo vinategemeana sana na maisha ya watu,unapofanya lockdown au curfew ni lazima utathimini madhara ya ugonjwa wenyewe, lockdown si jambo la mchezo, hilo jambo la mwisho, lazima utathimini huo ugonjwa kwa kina,unaweza kujikuta unapoteza muda kwa kitu cha kipuuzi,mfano mnapima watu huku mko lockdown,na hakuna tathimini yoyote ugonjwa utaisha lini labda,kuna hatari kubwa ya ku-fail kwa hiyo lockdown, na wakati unagundua hilo tayari ulishapoteza muda.
 
Tahadhari zote zimechukuliwa isipokuwa lockdown na hiyo curfew..vitu ambavyo vinategemeana sana na maisha ya watu,unapofanya lockdown au curfew ni lazima utathimini madhara ya ugonjwa wenyewe,lockdown si jambo la mchezo,hilo jambo la mwisho..lazima utathimini huo ugonjwa kwa kina,unaweza kujikuta unapoteza muda kwa kitu cha kipuuzi,mfano mnapima watu huku mko lockdown,na hakuna tathimini yoyote ugonjwa utaisha lini labda,kuna hatari kubwa ya ku-fail kwa hiyo lockdown,na wakati unagundua hilo tayari ulishapoteza muda
Kushindwa kufunga hata vilabu vya pombe kumenishangaza mno. Nchi zote zilizo siriazi zilifunga mikusanyiko yote isiyo ya lazima kama baa lakini sisi kwa mzaha hatukufunga kabisa hata vijiwe. Hii ni level ya chini sana ya tahadhari.
 
Magu alitutia rehani kwa kufanya maamuzi ya kutochukua hatua kali kwa ugonjwa usiojulikana vizuri. Wenzetu walioendelea walichukua hatua sio kwamba walikuwa wajinga au waoga bali wako makini na sasa baada ya kuujua ugonjwa na athari zake ndio wameanza kufungua. Huwezi kusema magu alijua nini kitatokea hata yeye mwanzoni alinyong'onyea sana na sasa ndio amepata ahueni baada ya kuona mataifa makubwa yakizungumza kufungua. Vinginevyo alifanya vibaya mno kudharau ugonjwa asioujua vizuri.

Trump anaruhusu nyumba za ibada sio kwamba ni muumini yule ni atheist na fedhuli mkubwa, ila anafanya kwasababu za kisiasa.
Jifunze kitu kwenye Fumigation
Alibahatisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyata nimemsikiliza inaonekana advisors tu ndio walimdanganya Sasa kurudi normal ni inshu mana chombo kilitaka kuzama unajua population ya rwanda ni mara nne ya population ya kenya huwezi kuwaiga hao eti ukategemea kusurvive. Haiwezekani Kabisa uwe na cases few vile bado ulazimishe lockdown, Kujikomba kubaya sana haya hizo international communities zije zimpandishie uchumi.

Kenyeta amekuwa too emotional driven badala ya kuangalia facts, jana trump anasema Sehemu za ibada ni Essential na watu waachiwe waende hahaha leo kweli kanisani kumekuwa essential Kwanza hao walio kuwa locked the likely ya kupata convid ni kubwa ili sisi wadau tulikuwa tunajichanganya tayari miili ina build immunity.

Kenyata amevulunda kwa vile kipindi chake kinaisha ila angekuwa na term moja ahead asingefanya ujinga huo amemtengenezea mazingira magumu DP ruto na sasa kuna kama kasitokuelewana, Matiangi anazidi kuwa closer na Rais
 
Huu uzi bora tuuache,maana wakenya hawamo wanachungulia tu.Wakenya wakora,walifuata mwongozo wa WHO ili wapige mpunga.Baada ya hapo,wanafuta Tz wanafanya nini!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu alitutia rehani kwa kufanya maamuzi ya kutochukua hatua kali kwa ugonjwa usiojulikana vizuri. Wenzetu walioendelea walichukua hatua sio kwamba walikuwa wajinga au waoga bali wako makini na sasa baada ya kuujua ugonjwa na athari zake ndio wameanza kufungua. Huwezi kusema magu alijua nini kitatokea hata yeye mwanzoni alinyong'onyea sana na sasa ndio amepata ahueni baada ya kuona mataifa makubwa yakizungumza kufungua. Vinginevyo alifanya vibaya mno kudharau ugonjwa asioujua vizuri.

Trump anaruhusu nyumba za ibada sio kwamba ni muumini yule ni atheist na fedhuli mkubwa, ila anafanya kwasababu za kisiasa.
Kama umepewa uelewa na ufahamu sio lazima kuiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha... Mbowe, Zitto na Membe wanaumbuka vibaya!
Wote hawa walisema tutatengwa na majirani, na majirani wenyewe ndio hawa!

Mtu una maambukizi 10 unafungia watu, yamepanda hadi 1200 unawatoa nje, hizi akili au matope?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umesema vizuri sana, walipaswa sasa hivi ndio wawafungie wakenya kwasababu uwezo wa kuambukizana sasa hivi ni mkubwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu alitutia rehani kwa kufanya maamuzi ya kutochukua hatua kali kwa ugonjwa usiojulikana vizuri. Wenzetu walioendelea walichukua hatua sio kwamba walikuwa wajinga au waoga bali wako makini na sasa baada ya kuujua ugonjwa na athari zake ndio wameanza kufungua. Huwezi kusema magu alijua nini kitatokea hata yeye mwanzoni alinyong'onyea sana na sasa ndio amepata ahueni baada ya kuona mataifa makubwa yakizungumza kufungua. Vinginevyo alifanya vibaya mno kudharau ugonjwa asioujua vizuri.

Trump anaruhusu nyumba za ibada sio kwamba ni muumini yule ni atheist na fedhuli mkubwa, ila anafanya kwasababu za kisiasa.
Kenya kulikuwa na lockdown usanii,we night lockdown,day watu wanaendele na shughuli zao utazani labda virus vya Corona vina lala mda wa mchana.
 
It's no brainer that the more you increase on the number of tests, the possibilities of having an increased number of infected persons!..
So because now you know that there are many people with infections in the communities, you are suppose to increase those measures, not to lift them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom