Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Mi haka karais sikaelewi hata, yaani sijuwi anakuwa na akili gani. Yaani Diamond ndiyo mtu wa kukaa naye na kupiga story, ana umuhimu gani nchini kwetu? Kuna masuala nyeti sana nchini yanayotuhusu wananchi pamoja na usalama wa nchi yetu yeye anayaweka kando eti anakaa na Diamond kunywa chai na kushangaa skyscrapers!
Pengine haya maandishi yako yameonesha hutulii na kusoma upya unacho kiandika.
Hebu niambie Maana ya Tomaso.
Huna sababu ya kuleta habari na kuingiza maneno ambayo yataugeuza mjadala.
Mimi sitaacha kukushauri kubadilika na sikutegemea kuwa utabisha katika hili.
Jenga mtindo wa kusoma habari zako kabla ya kuzipost, unashindwa kujua kitendo cha kutumia neno Tomaso linaweza kubadili mjadala.
Wewe ni kijana mdogo una muda wa kubadilika.
Samahani lakini.
Diamond siyo mwananchi??
Jiulize, anachangia nini katika kipato cha nchi yetu? Au analeta faida gani nchini kwetu. Wewe kama mwananchi unanufaika na contribution ipi ya Diaomnd?
Hivi Mwlm Nyerere angeweza kuyafanya hay a yote?
Mi haka karais sikaelewi hata, yaani sijuwi anakuwa na akili gani. Yaani Diamond ndiyo mtu wa kukaa naye na kupiga story, ana umuhimu gani nchini kwetu? Kuna masuala nyeti sana nchini yanayotuhusu wananchi pamoja na usalama wa nchi yetu yeye anayaweka kando eti anakaa na Diamond kunywa chai na kushangaa skyscrapers!
Ulitaka apige story na bibiyako?
Akifaidika yeye pia ni faida kwa Taifa. Kwasababu Mtanzania amefaidika, sasa faida za Mtanzania alifaidika na anaishi tanzania Kama huzijui siyo kosa langu.
View attachment 162153hahaha mzee bana huwa akifika air port anawaulizi nini
Subiri kuna na ya tyson nawaletea
Will you come home and teach us how to play ball??? Thats a tax free investment...
Mi haka karais sikaelewi hata, yaani sijuwi anakuwa na akili gani. Yaani Diamond ndiyo mtu wa kukaa naye na kupiga story, ana umuhimu gani nchini kwetu? Kuna masuala nyeti sana nchini yanayotuhusu wananchi pamoja na usalama wa nchi yetu yeye anayaweka kando eti anakaa na Diamond kunywa chai na kushangaa skyscrapers!
Unafaham niko wapi saiv,,nya wewe(saiv nikuwajibu ovyo ovyo tu )Kosa lako n moja kijana, huna shule kichwani mwako.. Lait ungekuwa na shule usingeachwa na huyo unaempigia promo huku angemov naww popote pale aendapo ili uweze mtangaza vzur..,,rud darasan muda bdo unao HOD
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Bora hata angepiga story na bibi yangu maana angepewa ushauri mzuri tu juu ya uchumui wa nchi yetu.