Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa wa Mara,wilaya ya serengeti,kata ya Robanda, kikiji cha bilila,ur wellcomeWakuu hivi hiyo Lodge sehemu gani hapa Tanzania, mkoa,Wilaya, Kata, na Mtaa? msishangae sana hilo swali!
Hawa wa mama wasubiri tu, walikuwa na KM machachari pale Afya, akaangalia tumbo lake tu na maadhimisho 77 88! kumbukumbu yao?kazi tunayo kama mkuu wa kiti anamiliki au kufanya biashara akiwa mjengoni ni hatari ya danger:A S-baby:
napata mashaka na hiki chama chetu, Kinana nae kampuni yake tunaambiwa ndio inahusika katika kusafirisha
pembe za ndovu zilizokamatwa Hong Kong, dah Mangula nae alihusika na EPA,
JK ana kazi ya kutuambia hizo hela alipata wapi
na kwanini kwa uwezo huo asitumie hizo hela kuweka hata vitanda vya mama wajawazito muhimbili
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/355066-mangula-kinana-na-hatima-ya-taifa-letu.html
Ndugu Original Kama hujui kitu nyamaza tu.JK ndiyo mmliki wa Bilila Lodge na hakuna ubishi.Na amekuwa kuwadi mzuri wa huyo mwarabu aliyemuonga SUTI TANO rejea wikileakes report.Lokissa kama hujui vitu kaa pembeni, mmiliki wa Bilila ni Ali Bawardy tycoon wa kiarabu. Hotel haijawahi kuwa chini ya Serena ila Kempinski walipewa kufanya management na sasa management wanafanya Four Seasons na si kwamba wameuziwa.
Kuhusu JK kuwa na shares siwezi kulizungumzia kwani sijaona Memorandum kuweza ku identify shareholders.
duh!!!! kazi ipo kumbeeTz hapo tena serengeti mkuu