Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Aloo hatimae umechangia bila kumtaja Mbowe. HongeraNa pale MWANZA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aloo hatimae umechangia bila kumtaja Mbowe. HongeraNa pale MWANZA?
Ndio nani huyo?Aloo hatimae umechangia bila kumtaja Mbowe. Hongera
Hata msamiati kulamba asali hujautaja. Siku hazigandiNdio nani huyo?
Mkuu, JK hakuanguka yeye mwenyewe aling'ang'aniwa mguu na njemba Moja moko kutaka kumwangusha . Sijui alitumwa na nani.Kumbe kabla ya kudondoka kwa Mzee alikuwepo mlinzi mmoja wa magwanda! Hongera kwa taarifa.
Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani.
Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU.
Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani kuhutibia basi nyuma yao huwa amesimama ADC (Mpambe) tu.
View attachment 2570917
Lakini baada ya tukio lile la mwaka 2005, idara ya Usalama ikaanza kuwawekea Marais waliofata utaratibu wa kuwa na Mpambe (yule mwanajeshi) pembeni yake akiwepo na Mlinzi anayevaa kaunda suti.
View attachment 2570926
Walifanya hivyo ili kuhakikisha kuwa ikitokea dharura basi waweze kusaidiana kama ni kumdaka ili Rais asipate matatizo zaidi.
View attachment 2570938
Ikumbukwe, Rais huwa ana walinzi wengi sana ila sio wote wanakuwa karibu nae zaidi hasa majukwaani. wengine huzunguka jukwaa na maeneo mengine.
View attachment 2570957
Utarativu huu wa Rais kuwa anahutubia huku nyuma akiwa na Mlinzi pamoja na Mpambe unafanywa hapa Tanzania tu kwa nchi za Afrika ya Mashariki.
Ahsanteni kwa kunisoma!!
Tofautisha Jangwani na MWANZA!Mkuu, JK hakuanguka yeye mwenyewe aling'ang'aniwa mguu na njemba Moja moko kutaka kumwangusha . Sijui alitumwa na nani.
Hapa ni Kagame kazini:
View attachment 2571170
Hapa ni Museveni akiwajibika:
View attachment 2571177
Beberu naye ni hivyo hivyo. Itoshe kusema kuweka mtu nyuma huko ni ushamba!
Kwa hakika bila kujali ni nani anafanya hivyo.
Sio ushamba mkuu, kila taifa lina utaratibu wake katika kutoa ulinzi kwa viongozi wake.
Kwahiyo hapa unataka kusema Rais wa Marekani anavyosafiri kila nchi na magari yake na wakati nchi anazoenda zina magari yanayoweza kumbeba ni ushamba?
Museveni anatembea na choo chake maalumu.
Sawa mkuuMwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani.
Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU.
Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani kuhutibia basi nyuma yao huwa amesimama ADC (Mpambe) tu.
View attachment 2570917
Lakini baada ya tukio lile la mwaka 2005, idara ya Usalama ikaanza kuwawekea Marais waliofata utaratibu wa kuwa na Mpambe (yule mwanajeshi) pembeni yake akiwepo na Mlinzi anayevaa kaunda suti.
View attachment 2570926
Walifanya hivyo ili kuhakikisha kuwa ikitokea dharura basi waweze kusaidiana kama ni kumdaka ili Rais asipate matatizo zaidi.
View attachment 2570938
Ikumbukwe, Rais huwa ana walinzi wengi sana ila sio wote wanakuwa karibu nae zaidi hasa majukwaani. wengine huzunguka jukwaa na maeneo mengine.
View attachment 2570957
Utarativu huu wa Rais kuwa anahutubia huku nyuma akiwa na Mlinzi pamoja na Mpambe unafanywa hapa Tanzania tu kwa nchi za Afrika ya Mashariki.
Ahsanteni kwa kunisoma!!
Mkuu, JK hakuanguka yeye mwenyewe aling'ang'aniwa mguu na njemba Moja moko kutaka kumwangusha . Sijui alitumwa na nani.
Sio ushamba mkuu, kila taifa lina utaratibu wake katika kutoa ulinzi kwa viongozi wake.
Kwahiyo hapa unataka kusema Rais wa Marekani anavyosafiri kila nchi na magari yake na wakati nchi anazoenda zina magari yanayoweza kumbeba ni ushamba?
Museveni anatembea na choo chake maalumu.
Kwanza ujue hakuwa Rais,alikuwa mgombeaMwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani.
Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU.
Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani kuhutibia basi nyuma yao huwa amesimama ADC (Mpambe) tu.
View attachment 2570917
Lakini baada ya tukio lile la mwaka 2005, idara ya Usalama ikaanza kuwawekea Marais waliofata utaratibu wa kuwa na Mpambe (yule mwanajeshi) pembeni yake akiwepo na Mlinzi anayevaa kaunda suti.
View attachment 2570926
Walifanya hivyo ili kuhakikisha kuwa ikitokea dharura basi waweze kusaidiana kama ni kumdaka ili Rais asipate matatizo zaidi.
View attachment 2570938
Ikumbukwe, Rais huwa ana walinzi wengi sana ila sio wote wanakuwa karibu nae zaidi hasa majukwaani. wengine huzunguka jukwaa na maeneo mengine.
View attachment 2570957
Utarativu huu wa Rais kuwa anahutubia huku nyuma akiwa na Mlinzi pamoja na Mpambe unafanywa hapa Tanzania tu kwa nchi za Afrika ya Mashariki.
Ahsanteni kwa kunisoma!!
Kikwete kaanguka mara mbili anahutubia Mimi nimeshuhudia nadhani ana pressure ya kushuka ndo inaletaga athari , Kuhusu kura za Huruma uongo Ccm Wana mbinu zao za kuiba kura.Kwanza ujue hakuwa Rais,alikuwa mgombea
Pili lile lilikuwa igizo tu toka lumumba kuwa ajifanye anadondka ili judraw attention ya wapiga kura nchi nzima na kweli ikawa talk of the town akapata kura za huruma,
Nilikwepo wakati mkakati wa igizo hili ukipangwa
Mwinyi alipigwa kibao jukwaani, wenye uthubutu wapo sana.kumbe[emoji23][emoji23][emoji23] watu wana uthubutu
Pole mkuuHii ishu ya kuanguka ghafla haina mwenye hati miliki nayo asee, ikikubamba ndio utajua hujui.
Mimi kuna siku ktk shughuli zangu nilijikuta naamka tu lakini sijui niliangukaje. Halafu nakuta wajumbe wananikodolea tu macho wanga wakubwa wale hamna hata huduma ya kwanza.
Wakikujibu hili pls ni tag namiHivi kwanini Marekani hao watu wa nyuma hawaonekani?
Kuna matukio mawili, kuvutwa mguu huko kwa Wasukuma na kuanguka pale jangwani.