Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

Hiyo 2005 ni akiwa anagombea. Ninavyokumbuka alianguka tena akiwa rais na sikuona tofauti ya unachoongelea.
Mwaka 2010 kwenye kampeni, alianguka tena kikwete. Sijui shida ilikuwa nini?
 
Kwanza ujue hakuwa Rais,alikuwa mgombea
Pili lile lilikuwa igizo tu toka lumumba kuwa ajifanye anadondka ili kudraw attention ya wapiga kura nchi nzima na kweli ikawa talk of the town akapata kura za huruma,
Nilikwepo wakati mkakati wa igizo hili ukipangwa
Niliwahi kusikia kuwa ulikuwa mpango. Japo sikuamini. Awamu zote ameanguka Wakati wa kampeni.
 
Sio ushamba mkuu, kila taifa lina utaratibu wake katika kutoa ulinzi kwa viongozi wake.

Kwahiyo hapa unataka kusema Rais wa Marekani anavyosafiri kila nchi na magari yake na wakati nchi anazoenda zina magari yanayoweza kumbeba ni ushamba?

Museveni anatembea na choo chake maalumu.
Anaigopa kupimwa mkojo?
 
Mkuu, JK hakuanguka yeye mwenyewe aling'ang'aniwa mguu na njemba Moja moko kutaka kumwangusha . Sijui alitumwa na nani.
JK alianguka mara ya kwanza kwenye kampeni mwaka 2005 kisha 2010 ila yule wa Mwanza alipanda jukwaani huku JK akiwa kwenye Kigoda akisimikwa uchifu akaenda kama kumsukuma/kumtekenya
 
Kwanza ujue hakuwa Rais,alikuwa mgombea
Pili lile lilikuwa igizo tu toka lumumba kuwa ajifanye anadondka ili kudraw attention ya wapiga kura nchi nzima na kweli ikawa talk of the town akapata kura za huruma,
Nilikwepo wakati mkakati wa igizo hili ukipangwa
Wakati ananguka mara ya kwanza hakuwa Rais, halafu akaanguka mara ya pili akiwa Rais
 
Anaogopa gogo lake linaweza kutumika kumroga c unajua imani za kiafrika?
 
Back
Top Bottom