Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

Hiyo 2005 ni akiwa anagombea. Ninavyokumbuka alianguka tena akiwa rais na sikuona tofauti ya unachoongelea.
Mwaka 2010 kwenye kampeni, alianguka tena kikwete. Sijui shida ilikuwa nini?
 
Niliwahi kusikia kuwa ulikuwa mpango. Japo sikuamini. Awamu zote ameanguka Wakati wa kampeni.
 
Niliwahi kusikia kuwa ulikuwa mpango. Japo sikuamini. Awamu zote ameanguka Wakati wa kampeni.
Usanii tu ule yule mtoto wa mjini ,ilikuwa mbinu ya kutengeneza headlines
 
Anaigopa kupimwa mkojo?
 
Mkuu, JK hakuanguka yeye mwenyewe aling'ang'aniwa mguu na njemba Moja moko kutaka kumwangusha . Sijui alitumwa na nani.
JK alianguka mara ya kwanza kwenye kampeni mwaka 2005 kisha 2010 ila yule wa Mwanza alipanda jukwaani huku JK akiwa kwenye Kigoda akisimikwa uchifu akaenda kama kumsukuma/kumtekenya
 
Wakati ananguka mara ya kwanza hakuwa Rais, halafu akaanguka mara ya pili akiwa Rais
 
Anaogopa gogo lake linaweza kutumika kumroga c unajua imani za kiafrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…