Rais Kikwete amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa mashtaka (DPP)

Rais Kikwete amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa mashtaka (DPP)

Nchi hii kwa Udini sasa uarabu umeigiaje,mfumo kristo mbaya sana.nyinyi endeleeni kutubeep beep tu.tusipoangalia Nchi nzuri tutaiharibu hii.

Una uelewa mdogo sana,huo ni ukoloni wa fikra,sasa dini na lugha vinakutanaje wewe,kwenye post unayolalamikia umeona dini yoyote imetajwa?
 
Nchi hii kwa Udini sasa uarabu umeigiaje,mfumo kristo mbaya sana.nyinyi endeleeni kutubeep beep tu.tusipoangalia Nchi nzuri tutaiharibu hii.

hamna chochote nyie mapumbafu mmeshindwa mahakama ya kadhi kuna nini mtaweza tena
 
nimeona kwenye mitandao, mkurugenzi mpya wa mashitaka (DPP)ameteuliwa. ni jamaa mmoja anaitwa Biswalo Kachele Mganga, ni wakili wa serikali maarufu sana kwenye uendeshaji wa kesi nzito za madawa ya kulevya na nyingine.
 
Biswalo! !!! Hiyo ni mashine toka kanda maalum! !!!
Kwa vyovyote, hilo ni jembe. ...
 
Tupeni profile yake. Ni kesi ngapi ngumu za madawa serikali ilishinda? Hasikiki huyu ikiashiria kuwa si mahiri. Vinginevyo angusheni CV ya kesi zake.
 
Nimeuliza competence ya huyu jamaa ikiwemo kesi kubwa alizosaidia kuwatia watuhumiwa hatiani. Sikupata jibu na post haipo. Nasema tuweke CV ya kesi alizopambana nazo zenye changamoto.
 
Mganga ni mchapakazi wa kuigwa.... anastahili uteuzi huu. Nampongeza kwa dhati. Nimefanya naye kazi kwa karibu sana. Uwezo wake ni mkubwa na ameendesha mashauri mengi magumu kwa ufanisi. Hongera Mganga. Piga kazi kwa bidii zaidi.
 
Ukitaka kuzijua pitia rekodi ya kesi za jinai (reported) za Court of Appeal na High Court ndipo utakapojua. Jamaa ni jembe rafiki! Si mzaha na NI MWADILIFU. Hii ndiyo sifa namba 1.
 
Wakurya wamejazana kwenye hyo idara..
 
Back
Top Bottom