Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Huyu jamaa ni MNOKO sana

watamwondoa tuuuu
 
Siwaamini maprofessa hata kidogo mfano Prof Muhongo, Prof Tibaijuka ni shidA TUPU bora Bwana/Bibi
 
Maprofesa wa bongo vichwa mazi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). madaraka ya Rais ni makubwa sana, huwezi teua mtu! alafu mtu huyo ndiye akukague!

"anyway! labda ni kwavile maprofesa wengi wa tanzania ni WAONGO! kama alivyokuwa muhongo na UONGO wake!"
 
Assad can be different the way i know him- Tahadhari kama walivyosema wengi ni kukubali kuyumbishwa na wanasheria
Kudos - Assad!

kila mjanja ana mjanja wake atapata tu wa kumraghai sema ndo vile sio kwa sana
 
Hongera yake na kila la heri. Nategemea atafanya kazi nzuri zaidi ya Uttoh.
 
Tatizo pia ni sisi.Kwa mfano huu mtazamo kuwa kuteuliwa kwake maana yake "Kaula" ni lini utatutoka?

mkuu ben,chukua like ''1000'' za mdomo,maana hapa natumia simu. Hakuna jambo linalonisikitisha kama kusikia kauli hii ya ''kaula''. hivi mtu anayeteuliwa katika nafasi fulani ya kiuongozi au mamlaka ya umma,inakuwaje awe ''ameula'' na si amebebeshwa msalaba mzito!!!???
Kuula huko maana yake ni kutumia STK kumpeleka mtoto shuleni, kumpeleka ''housegirl'' sokoni,kumpeleka mama vicobani, kwenda kuchukua vyakula vya mifugo,n.k pamoja na kuiba mali za uma na si mzigo mzito wa kuwatumikia watanzania na kuwaletea maendeleo!!!????
kama kweli tunataka hawa watumishi wa umma (wawe wateuliwa ama la) watekeleze majukumu yao ipasavyo na kutuletea maendeleo,basi sisi watanzania kwa ujumla (kaka,dada,mama,baba,babu,bibi,shangazi,mjomba,binamu,mpwa,shemeji,mkwe,mkamwana) wa mteuliwa/mchaguliwa/muajiriwa, tuache na kukemea kabisa tabia ya kutegemea manufaa kwa wale ndugu zetu wanaopata nafasi katika uongozi ama ajira.
 
JK siku zote yuko makini anapofanya uteuzi isipokuwa wateuliwa baadae hufanya ya kwao na kusahau maagizo ya kiongozi.

VIVA ASSAD!

Baada ya kufanya ya kwao aliewateuwa huwachukulia hatua gani kwa kusahau maagizo yake? Mi naona mara nyingi wakishaharibu aliwateuwa hukaa kimya kana kwamba yy ndo kawatuma
 
Kwa nini katika sakata la escrow,kaimu CAG hakusema kinagaubaga ya kwamba pesa ya Serikali imeibwa?Yale maelezo yake kwamba pengine Kuna pesa ya Iptl au Kuna pesa ya serikali yametufanya wananchi katika mtanziko...Hongera Mr Asad.
 
Nkisikia Prof kwenye mambo ya siasa napatwa na woga hasa baada ya ngoma ya Escrow.
Anyway lets hope for the best,All the best Prof.
 
Back
Top Bottom