Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Kasema hatatuangusha au wewe umesomaje mkuu?

Amesema hivi utouh aliweza Sana na anatumaini prof Assad hatatuangusha( maana yake hawezi kutuangusha) na kamtakia kila la heri ktk mafanikio mapana ya taifa....
 
Uteuzi Wa huyu prof wengi tulipendekeza na kutabiri hatimae ameteuliwa....

Ni MTU safi na Wa high profile Sana

Mkuu Moderator naomba uturejeshee ule Uzi Wa kumpendekeza prof Assad awe CAG
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasumbuliwa na chuki na roho ya husda tu.

Sina tatizo kabisa na Mteuliwa,ni mtu mwenye uwezo na sifa kushika nafasi husika. Tatizo langu ni timing ya uteuzi,anaye teua akiwa amebakisha muda mfupi madarakani! Tunafahamu kwamba Utoh alikuwa ameongezewa muda ili aondoke na mkuu! Ubishi wake wa kugomea uchakachuaji wa ripoti ikabidi astaafu kwa mujibu wa sheria.Ripoti ilifanyiwa uchakachuaji lkn ulikua wa kumuondoa Rais na Wizara ya Fedha ktk scandal hii. Nadhani ndilo kosa la aliye kuwa anakaimu!
 
Trend inaendelea secretary au mwenyekiti wa NBAA anakuwa C&AG hakuna mteremko kwa mafisadi hawa jamaa wanalinda professional
 
Nbc iliuzwa 1997 nyerere alitoa machozi...endelea 1999....bahati Mungu akamchukua mwaka huo.
 
CAG ndio alikuwa hajui kama pesa za escrow ni za umma? Bado Gavana wa BOT .
Hapana bwana. Katika hadidu rejea za uchunguzi, hakuna kipengere ambacho aliambiwa aseme ni za umma au la. Na hilo ndilo jambo ambalo lilifanya Pinda atiliwe mashaka, ni kwa nini hakuandika hicho kipengere?
 
Hapana bwana. Katika hadidu rejea za uchunguzi, hakuna kipengere ambacho aliambiwa aseme ni za umma au la. Na hilo ndilo jambo ambalo lilifanya Pinda atiliwe mashaka, ni kwa nini hakuandika hicho kipengere?

Jamani hizo siasa waachieni wabunge ukweli huu hapa public finance Act " public money include any trust or other money held ,whether temporarily or otherwise by an officer in his official capacity either alone or jointly with other person whether an officer or not"
 
Lazima wapewe watu watakaoweza kulinda maslahi baada ya awamu .........................!! Anyway, sidhani kama ana CV kumshinda huyu bwana!!

Maprofessor wengi ni mizigo kwa taifa hili wanapaswa kuendelea kushika chaki tu mpaka wanakwenda kaburini.Anayebisha arejee kwa hawa,Muhongo, Kapuya,Tibaijuka etc
 
2 late.Utawala utakuwa sio tena.Na hatokuwa na kazi JK anayodhani.
 
kwanini wachaguliwe maproffesa tu ndo kuxema wanaakili sana
 
kwanini wachaguliwe maproffesa tu ndo kuxema wanaakili sana
Ndio wanakili sana, na mkuu Prof. Jakaya Mrisho Kikwete amejikita sasa kuwachagua maprofesa wenzake, Ona Prof. Muongo, Prof. Anna Tibaijuka, Prof. ASSAD. Baada ya hapo wanakuja, kubadili nafasi badala ya watakaotenguliwa ni Prof. Juma Kapuya, Prof. Maji Marefu na Prof. JAY ajiandae anaweza akapewa ubunge wa kuteuliwa then uwaziri.
 
wow! hongera zake!
Kufundisha na kutenda ni vitu viwili tofauti!!
Professor Assad anaonekana kumaliza shahada yake ya kwanza 1988. Miaka miwili baadaye 1990 akarudi shule kusoma na ameendelea na shule hadi 1991. baada ya hapo anaonekana kufundisha. Kutokana na mlolongo huo Professor Assad ni mnadhalia kuliko mtendaji!! kwa ivo watanzania wasitegemee utendaji ulotukuka badala ya nadhalia na majigambo!!
Tanzania inahitaji CAG mwenye weledi wa field anayejua wabongo wanapigaje deals ili kuisharauri serikali! vinginevyo ataishia kuwa kama akina Muhongo au maghembe!!

unafaham CV ya Uttoh Ludovick CAG mstaafu? unajua km alikuwa mwalimu mzumbe??? au unapayuka kwa hisia......
 
Back
Top Bottom