Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
Francis aliyekuwa anakaimu kapigwa chino. Je ni kwa sababu ya taarifa ya escrow?
Hili swali gumu sana, linanipasua kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Francis aliyekuwa anakaimu kapigwa chino. Je ni kwa sababu ya taarifa ya escrow?
Je, Prof. Mussa ni Certified Public Accountant?
Kasema hatatuangusha au wewe umesomaje mkuu?Mbona kaandika vizuri tu au hujamwelewa??
Kasema hatatuangusha au wewe umesomaje mkuu?
Siwaamini maprofessa hata kidogo mfano Prof Muhongo, Prof Tibaijuka ni shidA TUPU bora Bwana/Bibi
Wewe unasumbuliwa na chuki na roho ya husda tu.
Nakumbuka Assad alikuwa mwenyekiti wa board ya NBC limited. Je alifanikiwa kivipi au mafanikio yake ni yapi!? Any news kabla hatujasema lolote.
Hapana bwana. Katika hadidu rejea za uchunguzi, hakuna kipengere ambacho aliambiwa aseme ni za umma au la. Na hilo ndilo jambo ambalo lilifanya Pinda atiliwe mashaka, ni kwa nini hakuandika hicho kipengere?CAG ndio alikuwa hajui kama pesa za escrow ni za umma? Bado Gavana wa BOT .
Bado profesa maji marefu
Hapana bwana. Katika hadidu rejea za uchunguzi, hakuna kipengere ambacho aliambiwa aseme ni za umma au la. Na hilo ndilo jambo ambalo lilifanya Pinda atiliwe mashaka, ni kwa nini hakuandika hicho kipengere?
Lazima wapewe watu watakaoweza kulinda maslahi baada ya awamu .........................!! Anyway, sidhani kama ana CV kumshinda huyu bwana!!
Hivi bado upo ulikuwa jela nini.2 late.Utawala utakuwa sio tena.Na hatokuwa na kazi JK anayodhani.
Ndio wanakili sana, na mkuu Prof. Jakaya Mrisho Kikwete amejikita sasa kuwachagua maprofesa wenzake, Ona Prof. Muongo, Prof. Anna Tibaijuka, Prof. ASSAD. Baada ya hapo wanakuja, kubadili nafasi badala ya watakaotenguliwa ni Prof. Juma Kapuya, Prof. Maji Marefu na Prof. JAY ajiandae anaweza akapewa ubunge wa kuteuliwa then uwaziri.kwanini wachaguliwe maproffesa tu ndo kuxema wanaakili sana
wow! hongera zake!
Kufundisha na kutenda ni vitu viwili tofauti!!
Professor Assad anaonekana kumaliza shahada yake ya kwanza 1988. Miaka miwili baadaye 1990 akarudi shule kusoma na ameendelea na shule hadi 1991. baada ya hapo anaonekana kufundisha. Kutokana na mlolongo huo Professor Assad ni mnadhalia kuliko mtendaji!! kwa ivo watanzania wasitegemee utendaji ulotukuka badala ya nadhalia na majigambo!!
Tanzania inahitaji CAG mwenye weledi wa field anayejua wabongo wanapigaje deals ili kuisharauri serikali! vinginevyo ataishia kuwa kama akina Muhongo au maghembe!!