asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Mteule akiwa mwiba mchungu kwa watawala Nchini basi haongezewi hata sekunde 5 ofisini.
Kila la kheri Assad.
Kila la kheri Assad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
PRESIDENTS OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Assad alikuwa Profesa Mshiriki, Idara ya Uhasibu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bwana Ludovick Utouh ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma.
Profesa Assad ni msomi, mwenye weledi, ujuzi na uzoefu mkubwa wa uhasibu na udhibiti wa fedha ambaye ana Shahada ya Uzamivu wa Uhasibu (PHD in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Southampton, Uingereza mwaka 2001 na Shahada ya Uzamivu katika Udhibiti wa Fedha (MA in Financial Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City, Jamhuri ya Ireland mwaka 1991.
Profesa Assad pia ana Stashahada ya Kitaaluma ya Uhasibu (Professional Diploma in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City mwaka 1990 na Shahada ya Biashara (Bachelor of Commerce) ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 1988.
Pamoja na uzoefu wa kitaaluma, Profesa Assad anao uzoefu mkubwa katika eneo la uhasibu na ukaguzi. Alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kwa miaka saba (2007 - 2014); ni Rais na Mjumbe wa Chama cha Wahasibu Afrika (Pan African Federation of Accountants) tangu mwaka 2012; na ni mjumbe wa Bodi kadhaa za Wakurugenzi nchini Tanzania.
Katika kumteua Profesa Mussa Juma ASSAD kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Rais anayo imani kubwa kuwa elimu, weledi, ujuzi na uzoefu ambao Profesa Assad anao utamwezesha kutekeleza vema majukumu ya nafasi hiyo muhimu sana katika utawala bora wa nchi yetu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu Dar es Salaam.
1 Desemba,2014
-----------------------
Assad ni mwalimu wangu na nimjuavyo mm si mtu wakuyumbishwa na mtu wa msimamo sikuzote husimamia ukweli nakumbuka nilipokua nikisoma udsm 2004 alikua mkemeaji mkubwa wa matumizi mabaya yaliyokua yakifanya na uongozi wa Luhanga makamo mkuu wa chuo by then hakuogopa kufukuzww kazi alikua akiwapa makavu black and white, nimpambanaji nakumbuka alipopambana mpaka darasa lete la AC100 lilipogaiwa into two kutokana na kufurika kwa wanafunzi mpaka wengine wakawa wanasimama na kukaa ktk vidaka vya ngapi vya theatre s
Si dhani kama he can be compromised in any situation given his faith and professional ism and im certain he will rather be step down with respect and dignity than be hiding the truth or intermingled in dirty and culpritic manuevours
Serikali haiendeshwi kwa dhana.Sina tatizo kabisa na Mteuliwa,ni mtu mwenye uwezo na sifa kushika nafasi husika. Tatizo langu ni timing ya uteuzi,anaye teua akiwa amebakisha muda mfupi madarakani! Tunafahamu kwamba Utoh alikuwa ameongezewa muda ili aondoke na mkuu! Ubishi wake wa kugomea uchakachuaji wa ripoti ikabidi astaafu kwa mujibu wa sheria.Ripoti ilifanyiwa uchakachuaji lkn ulikua wa kumuondoa Rais na Wizara ya Fedha ktk scandal hii. Nadhani ndilo kosa la aliye kuwa anakaimu!
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
PRESIDENTS OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Assad alikuwa Profesa Mshiriki, Idara ya Uhasibu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bwana Ludovick Utouh ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma.
Profesa Assad ni msomi, mwenye weledi, ujuzi na uzoefu mkubwa wa uhasibu na udhibiti wa fedha ambaye ana Shahada ya Uzamivu wa Uhasibu (PHD in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Southampton, Uingereza mwaka 2001 na Shahada ya Uzamivu katika Udhibiti wa Fedha (MA in Financial Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City, Jamhuri ya Ireland mwaka 1991.
Profesa Assad pia ana Stashahada ya Kitaaluma ya Uhasibu (Professional Diploma in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City mwaka 1990 na Shahada ya Biashara (Bachelor of Commerce) ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 1988.
Pamoja na uzoefu wa kitaaluma, Profesa Assad anao uzoefu mkubwa katika eneo la uhasibu na ukaguzi. Alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kwa miaka saba (2007 - 2014); ni Rais na Mjumbe wa Chama cha Wahasibu Afrika (Pan African Federation of Accountants) tangu mwaka 2012; na ni mjumbe wa Bodi kadhaa za Wakurugenzi nchini Tanzania.
Katika kumteua Profesa Mussa Juma ASSAD kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Rais anayo imani kubwa kuwa elimu, weledi, ujuzi na uzoefu ambao Profesa Assad anao utamwezesha kutekeleza vema majukumu ya nafasi hiyo muhimu sana katika utawala bora wa nchi yetu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu Dar es Salaam.
1 Desemba,2014
-----------------------
![]()
Ni muislamu huyu
mbali na cv yake kuwa nzuri laki profesa tez kazidi udini mpeni pole maana kiala anaeteua sasa kwa asilimia kubwa swala tano yangu macho sasa
mnaoponda maprofesa....semeni mlikuwa mnataka uteuzi wa
Hawa Ghasia au Assumpta Mshana au Silinde????
Kuna tatizo mtu akiwa ni swala tano? so unataka atuteulie walevi na wezi uridhikembali na cv yake kuwa nzuri laki profesa tez kazidi udini mpeni pole maana kiala anaeteua sasa kwa asilimia kubwa swala tano yangu macho sasa
Wakristo wanajichotea pesa za umma kama zao,mda umefika nao wakafanye biashara wajue ugumu wa kuzipata hela.ukweli unauma ndo maana unatukana, mimi sina mda wa kubishana na wewe fanya utafiti wa wakuu wa mikoa wapya walioteuliwa na aliowaacha utakubaliana na mimi ukizingatia wakristo ni wengi kuliko waislam
Tuliweke lipi kichwani,au umekunywa viroba mkuu?.liwekeni hilo vichwani mwenu siku hazigandi na mtalopoka sana
Ni muislamu huyu
Sio kweli ,ASSAD ni ACPA, huwezi kuwa ACPA bila ya kupractice,ndio maana una jaza logbooks kazi ulizofanya ili uweze kuwa associate, pia ASSAD ana audit firm, NBAA hakuna CPA ya heshima, huwezi kuwa na audit firm kama sio ACPA-PPS (External auditor) na kuendelea mfanO FCPA-PPSMwana Mpotevu
Tunaomba rekebisheni Cv yake vinginevyo yafuatayo yatavuma haraka:
1.Miaka ya 2000 Dkt Assad aliwahi kufanya mitihani ya NBAA ili kupata CPA(T) akafeli na aliamua kuandaa kitabu kupinga NBAA
2.Kwenye CV yake hakuna popote palipoandikwa kuwa Dtk Asaad ni CPA(T) holder na inaonyesha kuwa yeye hana practise yoyote ndani ya uhasibu na wala jina lake halipo
3.Hata hivyo zipo taarifa kuwa Asaada alipewa CPA(T) kwa kumuheshimu tu . Kwa vyovyote vile tunaomba NBAA waonyesha Asaad ana status gani kwenye ngazi ya Uhasibu??Maana kuna yafuatayo
(i) Graduate accountant [CPA(T)]
(ii)ACPA(T)
(iii)FCPA(T)
Je katika ngazi hizo Dkt Asaadi yupo wapi???
Kama hakuna maana yake yeye hawezi kufanya na kusimamia kazi kama CAG.
Afadhali angepewa acting CAG
NI Makosa ya kibinaadamuHivi huyu aliyeandika ili tangazo ana-capacity kweli ya kutosha?! angalia level ya degree za mteuliwa - Uzamivu (PHD) badala ya Uzamivu (PhD), halafu Uzamivu (Master's) badala ya Uzamili (Master's). nafikiri hii inaonesha namna gani humo Ikulu watu wasivyokuwa makini.