Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Hakuna Professor aliyechaguliwa kisiasa akafanya vizuri, wote ni madudu tu! Prof. Sifuni Mchome-Division 5, Prof. Tibaijuka , fukwe ovyo, kashindwa kuboa na kulinda vigogo.. Prof. Muongo - Escrow.... Prof. Mbilinyi - Sukari, .. huyo subirini siku 100, atawasafisha Escrow......
 
Hakuna Professor aliyechaguliwa kisiasa akafanya vizuri, wote ni madudu tu! Prof. Sifuni Mchome-Division 5, Prof. Tibaijuka , fukwe ovyo, kashindwa kuboa na kulinda vigogo.. Prof. Muongo - Escrow.... Prof. Mbilinyi - Sukari, .. huyo subirini siku 100, atawasafisha Escrow......
Hapo umenena. Ndio maana hatujasikia watu kwenye sakata la escrow wakimlalamikia Chenge au wengine bali wengi hata nje ya nchi wamemuandama Prof. Tibaijuka, hii inaweza kuwa ni kwa sababu hao wengine ni mafisadi wazoefu lakini wanamshangaa mtu ambaye hawakumtegemea kabisa kuingia katika hii club ya ufisadi! Kwa maana hiyo ni kuwa kuwa mteule wa kisiasa na hasa hii awamu yetu pendwa ya nne ni lazimaz ufanane nao hata kama umeshuka kutoka mbinguni.

 
Sasa wewe unafikiri rais hakushauriwa na hao washauri wake?
Nini hasa kimekusukuma kuhoji uteuzi wa huyu mteuliwa kama huna uwezo wa kujua?

Wewe unafikiri Rais ametoka tu kwenye operesheni ya tezi dume na kutamka "Assad kamata nafasi hiyo"?
Ndugu it is obvious or most likely raisi kashauriwa kumchagua huyo Proffesor vinginevyo kama angekuwa anafanya chaguzi zote yeye mwenyewe na watu anaoteua nchi hii mbona ingekuwa kasheshe kujua yupi anafaa wapi nadhani kazi yake ingekuwa kusoma CV tu sasa sijui hiyo ndege angeipanda saa ngapi au majukumu yake mengine angeya timiza vipi.

Hoja yangu imejikita na matatizo ya sector ambayo kila siku tunayasoma mfano ripoti ya CAG inapotoka kuna ubadhirifu wa fedha kwenye manunuzi ya vifaa vya serikari. CAG anatakiwa kuishauri serikari jinsi ya kuziba hiyo mianya pengine kama itafanyika actual variance and sound purchases decisions were made, serikari inaweza jikuta inapunguza budget ya hiyo sector na kuelekeza sehemu zingine.

Ndio maana ya kufanya auditing yanapo onekana makosa inabidi mianya izibwe sasa tatizo linaweza lisiwe ubadhirifu tu bali ubadhirifu unatokana na aina ya waajiliwa, maadili ya accountants kushirikiana na wahusika kufanya utapeli, uwezo wa manager kusimamia wafanyakazi wake na kufikia malengo ya serikari, namna shirika linavyotoa ajira kuongeza ufanisi etc which demands appraisals.

Kwa maana hiyo majukumu ya auditor general na ushauri wake ni swala muhimu sana kwenye uchumi wa taifa being an accountant alone is not enough anatakiwa kuwaambia pale tatizo ni a,be na te. Lakini sio kila siku ripoti zikija ni malalamiko yale yale wala atusikii serikari imetoa sheria mpya ya kufanya mambo, managment aibadilishiwi zaidi ya muhusika tu wa ubadhirifu kupelekwa mahakamani kumbe tatizo pia linaweza kuwa na manager mwenyewe asieweza zuia ubadhirifu in the first place because he is unqualified for the position ajui kuweka layers ambazo anaweza monitor activities za shirika wala ajui kinachoendelea zaidi ya kusoma kinachokuja mezani kwake.

Ndio maana nikauliza huyu bwana ana experience gani ya management maana hii kazi sio ndogo au labda ata ana maandishi gani kuhusu sector ya ukaguzi Tanzania na way forward. If you must know national auditing is responsible for policy supervision in terms of finance hili kuweza kudhibiti mapungufu yote yanayoitia hasara taifa kimapato na kuisadia serikari kupanga actual cost as opposed to historical ones ambayo inaweza pungua au ongezeka because of proper auditing not to mention the ever evolving efficiency in the government bureaus due to good auditing.

Na huyo bwana hakuna mahala ambapo kuna ushahidi wa kuweza kusema ataboresha hiyo sector at least on the evidence of naked eye sanasana atafanya alichofanya Utoh based on facts presented of him by Ikulu-press wasifu report.
 
Utou alishastaafu mama yangu.tatizo alimwachia fransis ambae inasemekana aliwahi kufeli mtihani wa nursery.
acting CAG kashindwa hata kubainisha pesa za escrow ni za umma ama za iptl.

Kweli akili yako fupi kama ....... hiv umeskia kuwa CAG akienda kukagua ni pamoja na kubainisha kuwa fedha ni za umma ama laa? ?????????????
Inakuwa ilishabainishwa na ndo mana anaingia kazini.
Akili yako ilivyofupi unafkiri CAG anakagua mchanganyiko wa fedha za watu binafsi na za umma so anatakiwa abaini kama ni za umma ama za mafisadi? ???
Mwenye busara huficha upumbavu wake.
 
Asad kaua NBC, asad kaiharibu nssf. Ni mdini sana ndiyo tatizo lake. Kazi anaweza ila udini ndiyo tatizo lake kuu. Yaani yeye ni mjahidina sana. Naamini kwa hii nafasi atajaza waislam mpaka wee. Ningekuwa jk nisingemteua huyu mdini.

Kauaje NBC? Udini wake kaufanyia wapi lete mifano? Mi nafikiri wewe ndio mdini. Ina maana muislamu haruhusuwi kupata uongozi kwenye hii nchi?? Unajua waislam wangapi wako mtaani hawana kazi?
 
hawa jamaa wanashangaza sana. miaka zaidi ya 50 ya uhuru TZ ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani na wao wako madarakani kwa zaidi ya watendaji wa umma 70%. halafu leo hii wakiona muislam hata mmoja tu makamasi yanawatoka. sasa tuwaeleweje hawa watu? mbona wamekaa kisharishari kiasi hiki? hata hapo NSSF ambako ndo the leading security fund kwa mafanikio kama ulivyosema lakini kila siku wanaongoza kulitukana mitandaoni. hivi hawa jamaa tuwaeleweje? nashindwa kuelewa kama wanataka hii nchi yetu sote tuongoze wote na keki ya taifa iliwe na wote. hebu cheki mfano wa hili sakata la escrow. kuanzia benki, viongozi wa dini mpaka waumini wao wameiba na wamegawana pesa za umma. tena bila hata ya aibu. sijui hawa jamaa wanfundishwa kudhulumu humo makanisani hata siwaelewi kabisa.


Exactly,

TUMEWAPA UHURU WA KUKALIA HII NCHI KWA MIAKA ZAID YA 50 SASA,HUKO SERIKALI HAKUNA WALICHOKIFAANYA ZAID ZAID YA WIZI NA UFISADI TUH,

KWA SASA TUNACHOKIHITAJI NI BORA WAKAE HAWA HAWA WANAOWASEMA WAJAHIDINA KAMA DR DAU AU PROF ASSAD ILI NCHI ISONGE MBELE,

HAKUNA WANACHOKIFANYA ZAID YA WIZI NA UFISADI TUH,

HILO LA UDINI NA UJAHIDINA KWA SASA TUMESHALIZOEA SISI,WAACHE WASEME HADI WAPASUKE,

TUNAJUA KAZI YAO WAO NI WIIZI TUH HAWANA LOLOTE,NA HILI TUMELISHUHUDIA HIVI MAJUZI NAMNA AMBAVYO KANISA LIMESHIRIKI KWENYE UFISADI USIO NA KIFANI PAMOJA NA WAFUASI WAKE BILA KUSAHAU VIONGOZI WAKE,

HAWATUPI SHIDA HATA KIDGO.
 
Jamaa anamgwaya Mwandosya yupo smart ndomana anambania na alimteua baana ya kuona watu watampigia kelele, hata Magufuli alimbania akampa Wizara ya kijinga lakini jaamaa akaenda kudaka Meli, kaamua kumrudisha Miundombinu baada ya maswahiba wake wote kuwa wanamwangusha baada ya kuwapa wizara za ukweli. Alianzaga na Mawaziri 60 wakati 60% ya bajet tunategemea wahisani, me cjasoma bt cwez fanya ujinga huo. Mkapa aliacha nchi ina pesa balaa lakini jamaa anaondoka nchi anadaiwa mbaya. Me cjawahi ona viongoz wa namna hii jaman
tutajie basi hizo hela nyingi blaa alizoacha mkapa pale hazina. akili za chooni kama hizi ni shida sana. Tanzania ina madeni ya siku nyingi yasiyolipika tangia kipindi cha nyerere. unajiandikia tu baada ya kupata mataputapu. bwe'ge wewe.
 
Kuna watanzania wengi bado Wanatumia kichwa kufuga nywele. Mtu anasema Uttoh kapigwa chini we unaongea kwa Hakika au unaropoka?
 
Mwana Mpotevu

Tunaomba rekebisheni Cv yake vinginevyo yafuatayo yatavuma haraka:
1.Miaka ya 2000 Dkt Assad aliwahi kufanya mitihani ya NBAA ili kupata CPA(T) akafeli na aliamua kuandaa kitabu kupinga NBAA
2.Kwenye CV yake hakuna popote palipoandikwa kuwa Dtk Asaad ni CPA(T) holder na inaonyesha kuwa yeye hana practise yoyote ndani ya uhasibu na wala jina lake halipo
3.Hata hivyo zipo taarifa kuwa Asaada alipewa CPA(T) kwa kumuheshimu tu . Kwa vyovyote vile tunaomba NBAA waonyesha Asaad ana status gani kwenye ngazi ya Uhasibu??Maana kuna yafuatayo
(i) Graduate accountant [CPA(T)]
(ii)ACPA(T)
(iii)FCPA(T)
Je katika ngazi hizo Dkt Asaadi yupo wapi???
Kama hakuna maana yake yeye hawezi kufanya na kusimamia kazi kama CAG.
Afadhali angepewa acting CAG

Duh allegations kubwa sana hizi
 
Kabla ya kufundisha alifanya kazi field..
angalia gap lililopo kati ya shahada yake ya kwanza na muda aloanza kufundisha ili upate picha halisi!
ndhani wewe ndo unapayuka na kuendekeza hisia!

unafaham CV ya Uttoh Ludovick CAG mstaafu? unajua km alikuwa mwalimu mzumbe??? au unapayuka kwa hisia......
 
wewe ndo walewale.. kwahiyo unasifia hii miuteuzi yake Huyu BABA YENYU BABA RIZZ??
hakuna anayesifia ujinga huu wa rais kuteua mpaka kiranja mashuleni. tatizo lenu nyie majisenge mnamshambulia Kikwete as if ndo alioanzisha huu upuuzi badala ya kushambulia rais. tatizo hili lilianzishwa na kamzee mchonga. kama ungekuwa na akili ungeshambulia rais na sio Kikwete maana Kikwete sio wa kwanza kukaa pale magogoni.
 
endelea kuongelea vitu vya kufikirika wakati sisi tunaongelea vitu vinavyoonekana.

Wizi wa ESCROW una baraka zote za ofisi ya mkuu wa nchi.

Na bila shaka na ushauri wa wapi pa kwenda kuzitakatisha pia ni ushauri wa ofisi hiyo.
 
mkuu ukiangalia jinsi walivyoiba zile fedha zetu kwenye account ya escrow utafikiri labda zilichotwa kwenye parokia fulani kwenda kwa viongozi na waumini wao kupitia benki yao ya mkombozi (sijui hata inakomboa nini hiyo benki). sasa nimeanza kuamini kuwa hawa jamaa wanafundishwa kudhulumu huko makanisani kwao. huu wa escrow ni mfano hai kabisa.


Mkuu mimi siwezi ongeza hapo,

Umemaliza kila kitu,hawa jamaa chuki zao za kdini hazina kaibsa,

Na hii haijaanza leo ni tokea zama zile zilee za kafir nyerere,

Na slogans zao nyiingi ukiwauliza kwann mmejaa wengi huko serikalin wana sema waislam hawana shule,

Wakimuona Mtu kama Dk Dau Nssf wanasema kuna udini,

Wakimuona mtu Kama Rished Bade Tra wanasema udini,

Wakimuona huyu Prof Assad hiv sasa wanasema ni udini sasa sijui wao wakita nchi hii wawe peke yao kwenye hizo nyadhifa??

AJABU NAFASI WANAZOCHKUA WAO HAKUNA WANACHOFANYA ZAID ZAID YA KULIIBIA TAIFA HILI,

MFANO NI HUU WA KINDA ADREW CHENGE,PROF TIBAIJUKA RUGEMALIA NA KADHALIKA,

SASA SIJUI HUKO MAKANISANI WANAFUNZWA WIZIII AU MIMI SIELEWI...

MAANA SASA NAONA WAMEONA HAITOSHI WAMEANZA KUINGIZA HADI MAASKOFU KATIKA KULIIBIA TAIFA HILI,

HAWA JAMAA NI DISGRACE KWA TAIFA HILI,EVEN THOUGH SIO WOOTE LAKIN UKWELI HUU UNAUMIZA SANA
 
hawa watu wanachuki sana kinachowauma ni kuona muislam anaongoza kwani kubalance kwenye ajira kumefichua maovu mengi waliyokuwa wanayafanya ikiwemo hili la mkombozi benki
mkuu ukiangalia jinsi walivyoiba zile fedha zetu kwenye account ya escrow utafikiri labda zilichotwa kwenye parokia fulani kwenda kwa viongozi na waumini wao kupitia benki yao ya mkombozi (sijui hata inakomboa nini hiyo benki). sasa nimeanza kuamini kuwa hawa jamaa wanafundishwa kudhulumu huko makanisani kwao. huu wa escrow ni mfano hai kabisa.
 
..........Profesa Assad ni msomi, mwenye weledi, ujuzi na uzoefu mkubwa wa uhasibu na udhibiti wa fedha ambaye ana Shahada ya Uzamivu wa Uhasibu (PHD in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Southampton, Uingereza mwaka 2001 na Shahada ya Uzamivu katika Udhibiti wa Fedha (MA in Financial Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City, Jamhuri ya Ireland mwaka 1991.

1. Nampongeza Ndugu Assad kuteuliwa kufanya kazi hii adhimu katika tasnia ya Uhasibu. Namwomba aendeleze juhudi na maarifa, kama afanyavyo awapo kazini, ili aendelee kujenga heshima ya uhasibu, kazi ambayo anaipenda sana, tangu ajiunge na UDSM, mwaka 1985, kama mwanafunzi wa Uhasibu.
2. Hapo penye nyekundu isomeke Shahada ya UZAMILI (
MA in Financial Accounting) na si Shahada ya Uzamivu, kama Kurugenzi ya Mawasilano ya Ikulu inavyotaka kutudanganya. Hapa namwomba Salva na timu yake wawe makini na uhakika wa kile wanachoandika.
 
Back
Top Bottom