Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Ni ajabu sana kurugenzi ya habari Ikulu haijui tofauti kati ya shahada ya Uzamivu(Ph.D) na Shahada ya Uzamili(MA au Msc)
Mambo Ya Nepotism Kwenye Nafasi Nyeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ajabu sana kurugenzi ya habari Ikulu haijui tofauti kati ya shahada ya Uzamivu(Ph.D) na Shahada ya Uzamili(MA au Msc)
Mambo Ya Nepotism Kwenye Nafasi Nyeti
Hapo umenena. Ndio maana hatujasikia watu kwenye sakata la escrow wakimlalamikia Chenge au wengine bali wengi hata nje ya nchi wamemuandama Prof. Tibaijuka, hii inaweza kuwa ni kwa sababu hao wengine ni mafisadi wazoefu lakini wanamshangaa mtu ambaye hawakumtegemea kabisa kuingia katika hii club ya ufisadi! Kwa maana hiyo ni kuwa kuwa mteule wa kisiasa na hasa hii awamu yetu pendwa ya nne ni lazimaz ufanane nao hata kama umeshuka kutoka mbinguni.Hakuna Professor aliyechaguliwa kisiasa akafanya vizuri, wote ni madudu tu! Prof. Sifuni Mchome-Division 5, Prof. Tibaijuka , fukwe ovyo, kashindwa kuboa na kulinda vigogo.. Prof. Muongo - Escrow.... Prof. Mbilinyi - Sukari, .. huyo subirini siku 100, atawasafisha Escrow......
Ndugu it is obvious or most likely raisi kashauriwa kumchagua huyo Proffesor vinginevyo kama angekuwa anafanya chaguzi zote yeye mwenyewe na watu anaoteua nchi hii mbona ingekuwa kasheshe kujua yupi anafaa wapi nadhani kazi yake ingekuwa kusoma CV tu sasa sijui hiyo ndege angeipanda saa ngapi au majukumu yake mengine angeya timiza vipi.Sasa wewe unafikiri rais hakushauriwa na hao washauri wake?
Nini hasa kimekusukuma kuhoji uteuzi wa huyu mteuliwa kama huna uwezo wa kujua?
Wewe unafikiri Rais ametoka tu kwenye operesheni ya tezi dume na kutamka "Assad kamata nafasi hiyo"?
Utou alishastaafu mama yangu.tatizo alimwachia fransis ambae inasemekana aliwahi kufeli mtihani wa nursery.
acting CAG kashindwa hata kubainisha pesa za escrow ni za umma ama za iptl.
Asad kaua NBC, asad kaiharibu nssf. Ni mdini sana ndiyo tatizo lake. Kazi anaweza ila udini ndiyo tatizo lake kuu. Yaani yeye ni mjahidina sana. Naamini kwa hii nafasi atajaza waislam mpaka wee. Ningekuwa jk nisingemteua huyu mdini.
hata muhomgo walisema jembe...jembe si jembe!!Hongera prof Asad hapa JK amechagua jembe.
hata muhomgo walisema jembe...jembe si jembe!!
hawa jamaa wanashangaza sana. miaka zaidi ya 50 ya uhuru TZ ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani na wao wako madarakani kwa zaidi ya watendaji wa umma 70%. halafu leo hii wakiona muislam hata mmoja tu makamasi yanawatoka. sasa tuwaeleweje hawa watu? mbona wamekaa kisharishari kiasi hiki? hata hapo NSSF ambako ndo the leading security fund kwa mafanikio kama ulivyosema lakini kila siku wanaongoza kulitukana mitandaoni. hivi hawa jamaa tuwaeleweje? nashindwa kuelewa kama wanataka hii nchi yetu sote tuongoze wote na keki ya taifa iliwe na wote. hebu cheki mfano wa hili sakata la escrow. kuanzia benki, viongozi wa dini mpaka waumini wao wameiba na wamegawana pesa za umma. tena bila hata ya aibu. sijui hawa jamaa wanfundishwa kudhulumu humo makanisani hata siwaelewi kabisa.
tutajie basi hizo hela nyingi blaa alizoacha mkapa pale hazina. akili za chooni kama hizi ni shida sana. Tanzania ina madeni ya siku nyingi yasiyolipika tangia kipindi cha nyerere. unajiandikia tu baada ya kupata mataputapu. bwe'ge wewe.Jamaa anamgwaya Mwandosya yupo smart ndomana anambania na alimteua baana ya kuona watu watampigia kelele, hata Magufuli alimbania akampa Wizara ya kijinga lakini jaamaa akaenda kudaka Meli, kaamua kumrudisha Miundombinu baada ya maswahiba wake wote kuwa wanamwangusha baada ya kuwapa wizara za ukweli. Alianzaga na Mawaziri 60 wakati 60% ya bajet tunategemea wahisani, me cjasoma bt cwez fanya ujinga huo. Mkapa aliacha nchi ina pesa balaa lakini jamaa anaondoka nchi anadaiwa mbaya. Me cjawahi ona viongoz wa namna hii jaman
Mwana Mpotevu
Tunaomba rekebisheni Cv yake vinginevyo yafuatayo yatavuma haraka:
1.Miaka ya 2000 Dkt Assad aliwahi kufanya mitihani ya NBAA ili kupata CPA(T) akafeli na aliamua kuandaa kitabu kupinga NBAA
2.Kwenye CV yake hakuna popote palipoandikwa kuwa Dtk Asaad ni CPA(T) holder na inaonyesha kuwa yeye hana practise yoyote ndani ya uhasibu na wala jina lake halipo
3.Hata hivyo zipo taarifa kuwa Asaada alipewa CPA(T) kwa kumuheshimu tu . Kwa vyovyote vile tunaomba NBAA waonyesha Asaad ana status gani kwenye ngazi ya Uhasibu??Maana kuna yafuatayo
(i) Graduate accountant [CPA(T)]
(ii)ACPA(T)
(iii)FCPA(T)
Je katika ngazi hizo Dkt Asaadi yupo wapi???
Kama hakuna maana yake yeye hawezi kufanya na kusimamia kazi kama CAG.
Afadhali angepewa acting CAG
unafaham CV ya Uttoh Ludovick CAG mstaafu? unajua km alikuwa mwalimu mzumbe??? au unapayuka kwa hisia......
hakuna anayesifia ujinga huu wa rais kuteua mpaka kiranja mashuleni. tatizo lenu nyie majisenge mnamshambulia Kikwete as if ndo alioanzisha huu upuuzi badala ya kushambulia rais. tatizo hili lilianzishwa na kamzee mchonga. kama ungekuwa na akili ungeshambulia rais na sio Kikwete maana Kikwete sio wa kwanza kukaa pale magogoni.wewe ndo walewale.. kwahiyo unasifia hii miuteuzi yake Huyu BABA YENYU BABA RIZZ??
Wizi wa ESCROW una baraka zote za ofisi ya mkuu wa nchi.
Na bila shaka na ushauri wa wapi pa kwenda kuzitakatisha pia ni ushauri wa ofisi hiyo.
Mkuu mimi siwezi ongeza hapo,
Umemaliza kila kitu,hawa jamaa chuki zao za kdini hazina kaibsa,
Na hii haijaanza leo ni tokea zama zile zilee za kafir nyerere,
Na slogans zao nyiingi ukiwauliza kwann mmejaa wengi huko serikalin wana sema waislam hawana shule,
Wakimuona Mtu kama Dk Dau Nssf wanasema kuna udini,
Wakimuona mtu Kama Rished Bade Tra wanasema udini,
Wakimuona huyu Prof Assad hiv sasa wanasema ni udini sasa sijui wao wakita nchi hii wawe peke yao kwenye hizo nyadhifa??
AJABU NAFASI WANAZOCHKUA WAO HAKUNA WANACHOFANYA ZAID ZAID YA KULIIBIA TAIFA HILI,
MFANO NI HUU WA KINDA ADREW CHENGE,PROF TIBAIJUKA RUGEMALIA NA KADHALIKA,
SASA SIJUI HUKO MAKANISANI WANAFUNZWA WIZIII AU MIMI SIELEWI...
MAANA SASA NAONA WAMEONA HAITOSHI WAMEANZA KUINGIZA HADI MAASKOFU KATIKA KULIIBIA TAIFA HILI,
HAWA JAMAA NI DISGRACE KWA TAIFA HILI,EVEN THOUGH SIO WOOTE LAKIN UKWELI HUU UNAUMIZA SANA
mkuu ukiangalia jinsi walivyoiba zile fedha zetu kwenye account ya escrow utafikiri labda zilichotwa kwenye parokia fulani kwenda kwa viongozi na waumini wao kupitia benki yao ya mkombozi (sijui hata inakomboa nini hiyo benki). sasa nimeanza kuamini kuwa hawa jamaa wanafundishwa kudhulumu huko makanisani kwao. huu wa escrow ni mfano hai kabisa.hawa watu wanachuki sana kinachowauma ni kuona muislam anaongoza kwani kubalance kwenye ajira kumefichua maovu mengi waliyokuwa wanayafanya ikiwemo hili la mkombozi benki