Rais Kikwete aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri mwaka huu

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda.

axsdwdws_2.jpg
 
Mwafrika na madaraka ni kama fisi na mfupa.watu wanapenda madaraka kupitiliza yan na hii ni dalili ya uzembe na kutopenda kutumia uwezo binafsi kujikwamua kimaisha
 
Nimeshukulu we mwizi mwenzao umeiona coment yangu peleka salam kwao waambie ukumu yao October
Vitambi vitawashuka
 
Hii picha sina imani nayo naona kama ni ile ya mwaka jana sidhani kama ni ya leo kweli.
 
Mwafrika na madaraka ni kama fisi na mfupa.watu wanapenda madaraka kupitiliza yan na hii ni dalili ya uzembe na kutopenda kutumia uwezo binafsi kujikwamua kimaisha
Mbona hueleweki unasema nini au unamaanisha nini acha akili za bawacha bana.
 
Ni mchango tu kuna jamaa alisema Tanzania ni masikini lakini bado baraza la mawaziri kama tren so nikaongeza mchango wangu hapo umenipata?kama hujaelewa bas akili yako haiwez kunisahihisha akili yangu maana itakuwa IQ yako ndogo sana kutafsiri haya
 
Kwahiyo anataka fupi kama bajaji? Anaonaje akiunda lake ambalo litakuwa anavyotaka yeye.
 
sipati picha baraza la mawaziri la slaa hapo mwaka2045,mh sugu kwa pembeni mh afande sele,halafu yerico nyerere,kushoto kwake mh ben sanane,kisha jon mnyika,safari na prof j
 
Hii picha sina imani nayo naona kama ni ile ya mwaka jana sidhani kama ni ya leo kweli.

Angalia Wewe Mwanasheria mkuu mpya, kusoma hujui hata picha kuangalia???
 
Hii picha sina imani nayo naona kama ni ile ya mwaka jana sidhani kama ni ya leo kweli.

na mimi pia.. Tafuta upande wa kushoto au kulia wa rais halafu nioneshe pinda na bilal.. Anyway labda simu yangu!
 
Hicho kiti ambacho hakina mtu hapo ndio cha nani? Au shein
 
Back
Top Bottom