Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
mbona kigoma yetu back haijawa Dubai Keisha hamia kwengine!?
Mkuu JokaKuuSalary Slip,
..wakati Raisi Kikwete anatangaza "nia" ya kujenga reli, Raisi Uhuru Kenyatta atakuwa na ground breaking ceremony ya ujenzi wa reli toka Mombasa kuelekea Uganda na Rwanda kesho.
cc Koba, Ritz, Mchambuzi, Kubwajinga
Kwa nini isitekelezeke, na nia ipo.Mh.Raisi Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kimataifa.Raisi amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrka mashariki tu.
Mh.Raisi kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.
CHANZO:ITV
MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
Mkuu JokaKuu
Tanzania hatufanyi mashindano na Kenya kila nchi inaangalia maitaji yake. Kenya wanahangaika wanajidanganya sana wakifanya miradi mingi watazidi kuwa super power afrika mashariki.
Wanaufanyia marekebisho ya uwanja wao Jomo Kenyatta airport kwa mwaka wawe wanapitisha watu milioni 40 hizo ni akili waka Dubai ndiyo wanakimbilia 40/50 sijui abiria watawatoa wapi, wanadhani kila siku Tanzania na Uganda watakuwa na airport mbovu.
Nampongeza rais wetu kwa ujenzi huo utapunguza gharama.
Salary Slip,
..wakati Raisi Kikwete anatangaza "nia" ya kujenga reli, Raisi Uhuru Kenyatta atakuwa na ground breaking ceremony ya ujenzi wa reli toka Mombasa kuelekea Uganda na Rwanda kesho.
cc Koba, Ritz, Mchambuzi, Kubwajinga
Msemaji wa JMT jibu na Kigoma kuww Dubai, lini? Au baga ndio panakuwa Dubai. Sema tumeshindwa na kukubali ukweli sio dhambiMkuu JokaKuu
Tanzania hatufanyi mashindano na Kenya kila nchi inaangalia maitaji yake. Kenya wanahangaika wanajidanganya sana wakifanya miradi mingi watazidi kuwa super power afrika mashariki.
Wanaufanyia marekebisho ya uwanja wao Jomo Kenyatta airport kwa mwaka wawe wanapitisha watu milioni 40 hizo ni akili waka Dubai ndiyo wanakimbilia 40/50 sijui abiria watawatoa wapi, wanadhani kila siku Tanzania na Uganda watakuwa na airport mbovu.
Nampongeza rais wetu kwa ujenzi huo utapunguza gharama.
Rais lazima atangaze nia ndiyo ujenzi uanze bandari tayari wameishaingia mkataba na makampuni ya China wanajenga Bagamoyo...unampongeza kwa ujenzi au kurudia kutangaza "nia" aliyotangaza mwaka 2011??
..sasa hata kama hatushindani na Kenya, je sisi wenyewe hatuhitaji bandari, reli, na viwanja vya ndege vya kisasa??
..kwanini miradi hiyo inabakia kwenye "nia" tu miaka nenda rudi??
CC: masopakyindidah. nami natangaza nia ya kumjengea mama yangu gorofa lakini mfukoni sina hata cent
Hii mbona ilikuwa tayari ianze kujengwa lakini Rwanda ndio wamechelewesha kwa visa vyao, lakini naona Tanzania na Burundi will go ahead kwani feasibilty imeshafanywa na ujenzi wake hautochukuwa muda mrefu, jisomee zaidi; Canarail reveals Tanzania-Rwanda railway construction underway
mh.raisi kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kimataifa.raisi amesema reli nyembamba inapatikana eneo la afrka mashariki tu.
Mh.raisi kayasema hayo mkoani simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa simiyu na mikoa ya jirani.
Chanzo:itv
my take:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
Rais lazima atangaze nia ndiyo ujenzi uanze bandari tayari wameishaingia mkataba na makampuni ya China wanajenga Bagamoyo.
Tanzania wanajenga airport Dar es Salaam Third Terminal kampuni mbili za Uingereza na Ujerumani wameishaingia mikataba.
Reli hiyo inajengwa mradi unaanza wakati wowote kuanzia sasa.