Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dogo, kwani nikiandika nakutekenya? Au unakwaruzika? As long as nipo hai niache niandike. Wajibu wako wewr nii kusoma nachoandika kwa umakini utajifunza na kujua mengi.Mkuu, kwani akiongea anakutekenya? Au unakwaruzika? As long as yupo hai muache aongee. Wajibu wako wewe ni kusikiliza anachokiongea kwa umakini utajifunza na kujua mengi.
Hawana akili hiyo. Waoga pia.Waandishi wa Tanzania ni hovyo ilipaswa wamuulize ulipewa miaka kumi ulishindwa nini kutekeleza???
Hivi unadhani mchakato wa kujenga SGR umechukua mwaka mmoja au miwili? Ni sahihi alivyosema kuwa mchakato ulianza tangu enzi ya Mkapa. Pengine ingewezekana labda ujenzi ungeanza mapema zaidi lakini nina hakika yale ma'feasibility studies' na ma'costing' siyo kitu cha kutengeneza mwaka mmoja au miwili, wachilia mbali kutengeneza hayo matenda husika.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwa nini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
πππ€£ππJK yuko sahihi, kwa jinsi mwendazake alivyokuwa, alikuwa anatamani aseme yeye ndio alizindua jiji la Dar es salaam, au aligundua mlima Kilimanjaro, au Ziwa Victoria
Unachosema Ni Sahihi, Nani Atasema Nini KusahihishaKabakia mwenyewe, hakuna wa kusahihisha
πππ€£ππ
hizo ni akili na mawazo yako yeye alifanya na wenye macho tuliona.JK yuko sahihi, kwa jinsi mwendazake alivyokuwa, alikuwa anatamani aseme yeye ndio alizindua jiji la Dar es salaam, au aligundua mlima Kilimanjaro, au Ziwa Victoria
Anakupeni taarifa nyinyi mnaoamini mwamba wa chato alikua na maono,maana mmejazwa propaganda na hamjui mambo ya nchi,jakaya alikubaliana na wachina kujenga sgr,kipindi Kenya wanajenga yao kwa pesa za wachina,alishaongea na wabrazil kujenga bwawa la umemeKila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
πππ€£ππ
hizo ni akili na mawazo yako yeye alifanya na wenye macho tuliona.JK yuko sahihi, kwa jinsi mwendazake alivyokuwa, alikuwa anatamani aseme yeye ndio alizindua jiji la Dar es salaam, au aligundua mlima Kilimanjaro, au Ziwa Victoria
Achana nae huyo. anatamani aitwe majina kwenye kila project.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Kwahiyo unataka nisiandike, wakati wewe unaandika usiyotaka mwingine ayaandikeKwahiyo unataka asiongee,wakati wewe unaongelea usiyotaka mwingine ayaongee.
Nami nikizeeeka ntakuwa napoteza busara? π€£π€£π€£π€£Hao ndio wazee, The older they get , the greater they were....hata wewe ukizeeka utakuwa hivi hivi